Natafuta internship (I.T) dar es salaam tu.

Estyzo

Senior Member
Jul 24, 2011
158
39
Heshima kwenu wakuu,
Mimi ni kijana wa kiume miaka 25 nimemaliza chuo mwaka jana I.T level ya degree kutokana na ugumu wa soko la ajira sijafanikiwa kuapata mahali pa kujishikiza.
hivyo kwa yoyote mwenye nafasi ya kunisaidia naomba anisaidia nafasi ambayonaweza kutumia kujijenga na kuimarisha uwezo wangu katika career hii ya I.T, nimechagua dar es salaam ili nisiingie gharama nyingi nitakapokuwa nafanya internship.
Ahsante sana natanguliza shukrani.
 
Heshima kwenu wakuu,
Mimi ni kijana wa kiume miaka 25 nimemaliza chuo mwaka jana I.T level ya degree kutokana na ugumu wa soko la ajira sijafanikiwa kuapata mahali pa kujishikiza.

Weka taarifa zote chuo gani umesoma,umemaliza lini ,umefaulu kiwango gani degree ya nini
 
Back
Top Bottom