Kwanza hongereni TPA na sekretariet ya ajira kwa mchakato mzima ambao hakuna hata chembe wala harufu ya rushwa na upendeleo, Jana tulifanya oral na kuambiwa tutapewa feedback hakuna hata mwenzangu mmoja ninayefahamiana naye tuliekuwa oral kama upo humu nicheki tuwasiliane pindi tukipigiwa simu.