Naomba kufahamu bei ya mashine ya kusafishia picha

Estyzo

Senior Member
Jul 24, 2011
158
39
habari wadau, ninaomba kufahamu bei ya ya mashine ya kusafishia picha kwa anefahamu kuna mtu anahitaji sana ushauri ili akamilishe studio yake ukinileza na namna ya kupata nitashukuru.
 
Mkuu ingia google,zipo nyingi tuu!just type QSS utapata brand tofauti tofauti,bei inaanzia USD 10,000 na kuendelea!ukifikisha hapa bongo unalipia tena ushuru like 5m hv!min.usiwe na chn ya 25m.studio inakua imekamilika.
 
Ni kitu kama hiki

2011081937742985.jpg
 
Eeh mkuu!ila nzuri ni QSS NORITSU!kwani taabu ya hizi mikitu mafundi hapa bongo ni utata!ukiwa na mashine complicated sana hata ikiwa na failure kidogo tuu itakusumbua!ipo hii QSS NORITSU 32 SERIES!ingia google,then jamaa unawatumia mail wanakupa bei!kila la heri mkuu.
 
Nakumbuka pale Haydary Plaza Walikuwa wanabadilisha Mitambo nikataka waniuzie ule wa Zamani wakaniambia niwaletee 20M.. tshs Nikasepa fasta Miaka ya katikati 2000-2005
 
habari wadau, ninaomba kufahamu bei ya ya mashine ya kusafishia picha kwa anefahamu kuna mtu anahitaji sana ushauri ili akamilishe studio yake ukinileza na namna ya kupata nitashukuru.

Hizo mashine hapa China zitakuwa bei chini kuliko unavyodhani, lakini quality yake haiwezi kuwa nzuri kama wadau wengine walivyoeelezea. Kama uko serious sema , nitakutafutia kiwanda na supplier wa uhakika then wewe utafanya uamuzi mwenyewe. Nicheki kwa email zilizopo kwenye site yetu ya G12 International Co. Ltd.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom