Tupeane uzoefu mchujo wa sekretariet ya ajira.

Estyzo

Senior Member
Jul 24, 2011
158
39
Habari wakuu kwa waliowahi fanya usaili sekretariet ya ajira ni aina gani usaili inakuwa ni zile aptitude test au ni maswali ya darasani kwa profesheni yako
Ahsante sana nitakieni kila la kheri mtaani kwa moto balaa.
 
Iterview kama nielewavyo huwa haina fomula.
 
Jitahidi sana kupitia mambo ya darasani kwa fani yako hasa kwenye written interview, ongezea na research.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom