Natafuta internship viettel au kampuni yoyote ya I.T

Estyzo

Senior Member
Jul 24, 2011
158
39
Heshima kwenu wote,
Mimi ni kijana wa kiume nimemaliza degree yangu ya kwanza chuo kikuu cha dodoma Bsc. software engineering Kwa heshima na taadhima napenda kuomba nafasi ya internship kwenye kampuni yoyote ya I.T nifanye kazi kwa kujitolea na kupata ujuzi huku nikishughulikia masuala mengine ya ajira, nipo tayar kufika mkoa wowote.

MAENEO NINAYOFIT FIT.
1. NETWORKING.
2. PROGRAMMING (JAVA, C++, PHP, JAVASCRIPT, HTML5,MYSQL)
3. COMPUTER REPAIR AND MAINTANANCE.
4. I.T technician.


Mbarikiwe wote na nawatakia mfungo mwema wa ramadhani.
 
Back
Top Bottom