Heshima kwenu wakuu,
Mimi ni kijana wa kiume miaka 25 nimemaliza chuo mwaka jana IT level ya degree. Kutokana na ugumu wa soko la ajira sijafanikiwa kupata mahali pa kujishikiza.
Kwa yoyote mwenye nafasi ya kunisaidia naomba anisaidie nafasi ambayo naweza kutumia kujijenga na kuimarisha uwezo wangu katika career hii ya IT. Nimechagua Dar es Salaam ili nisiingie gharama nyingi nitakapokuwa nafanya internship.
Ahsante sana natanguliza shukrani.