Kidonda kwenye kichwa cha uume

Estyzo

Senior Member
Jul 24, 2011
158
39
Salaam

wa mwezi sasa kimetokea kidonda kwenye njia ya uume pale uwazi, kidonda hiki hakiumi nilienda fanya urine culture na UTI hawajaona tatizo pamoja na blood culture hawanaona tatizo niliambiwa damu safi kabisa na mkojo hakuna mdudu aliyeota.

Samahani kwa pocha kama itawasumbua. Naombeni ushauri hii ni nini nimejaribu google hamna dalili ya std inaofanana na hali yangu.
 
Hamna maumivu ndio kinaongezeka mfano hapo kiliongezeka baada ya kukutana na mchumba wangu ila baada ya sili kinabakia kwa ndani kidogo mpaka ufunue ndio utakiona.
 
😂😂😂
Dah! Sijui na mimi nipige ka kwangu picha niweke..😅

Mkuu pole..
 
Lazma kinauma mkuu, mm nilikuwa nacho nikatumia hii dawa yaani siku tatu haijaisha kikapotea. kuna demu itakuwa ulipiga ana gono, au kama una mavuzi yanyoe yote.. Halafu achana na nyeto.

Tafuta hii dawa inauzwa kama buku 5.. Halafu uje ulete mrejesho

IMG_20191216_073121.jpg
 
Kidonda kisicho na maumivu kwenye uume ni miongoni mwa dalili za kaswende. Kapime,
 
Lazma kinauma mkuu, mm nilikuwa nacho nikatumia hii dawa yaani siku tatu haijaisha kikapotea...

kuna demu itakuwa ulipiga ana gono, au kama una mavuzi yanyoe yote.. Halafu achana na nyeto
Tafuta hii dawa inauzwa kama buku 5.. Halafu uje ulete mrejesho

View attachment 1492609

Hii dawa ni komesha, niliwahi kulala na shangingi limoja kesho yake nikawa nakojoa ute mweupe yaani kama nimeoza, nikapewa hiyo dawa. Siku mbili tu kwisha habari .
 
Back
Top Bottom