Search results

  1. Elia F Michael

    Ikibidi nitaacha Utumishi wa Umma ili niendelee kuwa huru

    Nilishamueleza Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kakonko juu ya kusudio langu la kuacha kuwa mwanachama wa @ccmtanzania na kuwa mtu huru kwa sasa. Nilimueleza kwa sababu yeye ndiye alinisindikiza kwenda kuonana na Rais Magufuli kutoka Kigoma hadi Dar es Salaam tukipokelewa na...
  2. Elia F Michael

    Ushauri kwa CCM-Tanzania

    Namna ya kubadili Wajumbe kuwa watu wazuri === UJUMBE MUHIMU KWENDA KWA WATANZANIA. Kubadili wajumbe kuwa watu wazuri kupitia uchaguzo 2022 na 2027 Kama ambavyo Yohana aliyaandikia Makanisa saba {Ufunuo 1; 9-14} akiwa katika kisiwa cha Patmo,vivyo hivyo nami ninawaandikia Watanzania hasa...
  3. Elia F Michael

    Tushiriki meza hii.

    CCM
  4. Elia F Michael

    Nilipata ajali na Mungu akaninusuru

    Asanteni Sana Ndugu zangu. Katika mazingira ya kazi Kuna mengi. Mwaka wa Jana nilifanikiwa kukamata Pamba Tani 11 na ikataifishwa. Waliokuwa wameificha pamba walikamatwa! Mwaka huu watu wale wale wamenifanyia hivi. Nafikiri Kama nilikosea kusimamia ukweli. Wamenibeba kwenye gari lao wakanitupa...
  5. Elia F Michael

    Kilo 5,5584 za pamba zimekamatwa zikiwa zimeuzwa kwa nija za magendo

    Leo tarehe 23/07/2020 nimekamata Kilo 5,584 za pamba Katika Kijiji cha NG'WAGALANKULU Tarafa ya Mondo Wilaya ya Kishapu zilizouzwa kinyume na utaratibu tena kwa kutumia mzani tofauti na kutunzwa kwenye nyumba ya mtu Jambo ambalo ni kinyume na utaratibu wa zao hilo ambalo linatakiwa kuuzwa...
  6. Elia F Michael

    Uchaguzi 2020 Ninakusudia kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Buyungu kupitia CCM

    Ninakusudia kuchukua fomu ya Kugombea Ubunge. Safari hii ni Kupitia Chama Cha Mapinduzi. Kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa Mgombea wa CCM Jimbo la Buyungu itawasaidia Wana CCM wa Wilaya ya Kakonko kuwa na Machaguo mengi. Kuhusu Ushindi wa CCM kwa nafasi ya Urais,hapo hakuna kazi...
  7. Elia F Michael

    Nitajiandaa na siku moja muda wangu utafika

    "I will prepare ,and one Day my time will come" Abraham Lincoln. "Nitajiandaa na siku moja muda wangu utafika" Njia nzuri ya kuhakikisha ndoto yako inatimia ni kuendelea kujiandaa,ili itakapokuja ikukute uko tayari. "USIACHE KUJIANDAA" Wasalaam...[emoji1241][emoji122]
  8. Elia F Michael

    Video shows Minneapolis cop with knee on neck of motionless, moaning man who later died

    Nchi inayodai ni Superpower lakini yenye swaga za Karne ya 17
  9. Elia F Michael

    Naendelea kutoa huduma ya uongozi kwa wananchi wa Tanzania

    Katika kutembelea Vijiji vya Kishapu,wiki 2 zilizopita nilifanikiwa Kufika Kijiji Cha Seke IDIDI nikakutana na vyumba 3 vya madarasa na nyumba 2 za Walimu ambazoo zilijengwa miaka 7 iliyopita kwa nguvu za Wananchi kwa lengo la kuongeza Shule ya Sekondari ili kuwapunguzia Umbali Wanafunzi ikiwa...
  10. Elia F Michael

    Usaliti ni laana: Elia F Michael awa Mtendaji wa Kata, apigwa marufuku kugombea ubunge kupitia CCM, adhulumiwa hela za usaliti

    Ninathibitisha kuwa Mimi siyo Mtendaji Wilaya ya Ngara wala sina marufuku yoyote kwenye Uhuru wangu wa kisiasa. Take it from me. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Elia F Michael

    Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

    Nimeipata Barua ya @zittokabwe aliyoituma kwenda Kwenye Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Dunia. Nimekumbuka shambulio la maneno ya @zittokabwe aliyofanya kwa @tundulissutz kwa kumuita Zwazwa baada ya CHADEMA kusema kuwa Wataishitaki Tanzania inyimwe misaada kutoka kwa Wazungu. @zittokabwe...
  12. Elia F Michael

    Kucheleweshwa kwa Mkopo World Bank: Tumkemee Zitto Kabwe kwa pamoja

    Nimesoma kwa ufasaha Taarifa zilizoandikwa na Mwandishi Tom Wilson kwenye Gazeti la FINANCIAL TIMES akiwa Uingereza kuwa baadhi ya viongozi wa Jamii ya Tanzania wakiongozwa na Mbunge wa Kigoma Mjini Ndugu yangu Zitto Kabwe kuiomba Benki Kuu ya Dunia kuahirisha kuipa Tanzania Dollar Milion 500 za...
  13. Elia F Michael

    Elia Michael: Kuhusu mimi kushiriki ziara ya Halmashauri Kuu ya CCM taifa Mwanza

    Wakati Halmashauri kuu ya CCM Taifa ilipowasili Busisi ambako pia utawala wa Ndugu yangu Kusheku Msukuma ni Mbunge, Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndugu yangu Polepole alinisimamisha mbele ya Mkandarasi anaejenga Daraja la Kigongo -Busisi Kilomita 3.2 lenye thamani ya Tsh Bilioni 699 ili...
  14. Elia F Michael

    Kupitia kipindi cha Ajenda 2020 Star Tv nitazungumza na Watanzania kwanini nimehamia CCM

    Nilianza siasa za kugombea katika nchi yangu August 2015. Ni kweli kwamba nilichaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya Gwarama nikiwa Mwaka wa 2 Chuo Kikuu cha Dar es salaam kama alivyoandika kaka yangu @malisa_gj na @charles_william2 . Nilipewa heshima kubwa sana na ya pekee kama Kijana aliyeamua...
  15. Elia F Michael

    Magufuli ni FDR wa Tanzania

    Na Elia F Michael. Baada ya kile kinachoitwa Great Economic Depression cha mwaka 1929-33 kuipiga Marekani na Ulaya alitokea Rais pale Marekani wa 32 aliyekuwa anaitwa Franklin Delano Roosevelt (FDR) ( 1882-1945) kutoka chama cha Democrat. Ni Rais wa Marekani ambae alikutana na hali mbaya ya...
  16. Elia F Michael

    DSO Kakonko amemtafuta mzazi wangu

    Afisa Usalama wa Taifa Wilaya ya Kakonko(DSO KAKONKO) Joseph Komite amempigia simu Baba yangu Mzazi Mchungaji FREDRICK MICHAEL (kwenye picha) akimtaka waonane Juu ya Maswala yangu leo. Baba amenieleza jambo hilo kwamba ameitwa kisha nikamuuliza DSO KAKONKO kwa ujumbe wa mfupi kwa njia ya simu...
Back
Top Bottom