Elia Michael: Kuhusu mimi kushiriki ziara ya Halmashauri Kuu ya CCM taifa Mwanza

Mar 3, 2018
75
799
Wakati Halmashauri kuu ya CCM Taifa ilipowasili Busisi ambako pia utawala wa Ndugu yangu Kusheku Msukuma ni Mbunge, Katibu wa Itikadi na Uenezi Ndugu yangu Polepole alinisimamisha mbele ya Mkandarasi anaejenga Daraja la Kigongo -Busisi Kilomita 3.2 lenye thamani ya Tsh Bilioni 699 ili anitambulishe kwa Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa.

Najua Wananchi wanaotoka Kigoma kwenda Mwanza wanatumia sana eneo la Busisi. Hii itakuwa taarifa njema kwao kwani itawachukua Dakika 5 tu badala ya masaa 2 kufika Mwanza Daraja hili likikamilika 2023.

Namuomba Mungu anijalie umri zaidi ili niwe sehemu ya Watanzania watakaozindua Daraja hili na kwa hakika picha hizi nitaomba ziwe kwenye Background siku hiyo.

Hisitoria imeandikwa na kutunzwa kichwa ni mwangu.
IMG-20191211-WA0076.jpeg
IMG-20191211-WA0074.jpeg
IMG-20191211-WA0075.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata slaa,lowasa,witara,shonza,mwigamba, kafulira,machali,mkosamali,mkumbo, mmesha wasahau mmebaki na kina mdude

Chama kinakufa vibaya hiki

State agent
Unaejieleza ni yupi kati ya hao 2 nisiyowajua. Maana hapo kwenye podium nimemtambua Kusheku na Polepole tu, sasa wewe ni yupi na ni nani nchi hii? Manake unaeleza kana kwamba kila mtu anakufahamu nchi hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafanya jambo la kijasiri sana, kuhama upinzani ukakimbilia ccm halafu kila siku uko jf!, kweli umejitoa mhanga, ila najua kujitoa huko ni kwasababu unaitumia jf kama platform yako kutafuta uteuzi ndio maana kila siku unajionesha huku, I wish vijana wengi tungekuwa na uwezo wa kujiajiri, tungeishi kwa amani sana!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata slaa,lowasa,witara,shonza,mwigamba, kafulira,machali,mkosamali,mkumbo, mmesha wasahau mmebaki na kina mdude

Chama kinakufa vibaya hiki

State agent

Sent using Jamii Forums mobile app
Utasubiri sana. Hao unaowasema walikuwa huku wanainanga CCM wamekuja huko wamekula shavu wewe umebaki kuwasifia huu ndiyo utaahira wenyewe. Mtasugua sana bench huku wahamiaji haramu( Kwa vile wananunuliwa kama bidhaa) wakipewa maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jina lako linakuja halafu linakataa hivi.
unaweza kujieleza wewe ni nani hapa Tanganyika na unahusika na nini kwenye mambo ya ujenzi wa madaraja.
Samahani kama nitakuwa nimekuwaza.
Deo Corleone-Naikesi Namtumbo

Kwa jinsi alivyojieleza nimegundua kuwa ndio maana vijana wengi wanashindwa kuajiriwa yaani anajitambulisha kama vile watu huku JF tunamjua yeye ni nani wakati sio hivyo, hata mie nimebaki najiuliza kweni huyu ni nani mpaka ajiweke ktkt ya wana CCM wakati kavaa jezi tofauti na ilikuwakuwaje akawa na umuhimu wa kuwa muhimu na kutambulishwa kwa wanainchi wa huko Busisi?
 
Back
Top Bottom