Search results

  1. LENGISHO

    Je, Wachagga wanaongea lugha moja?

    Kumekuwa na Utata wa Muda Mrefu Kuhusu Kama Wachagga Wanaongea Lugha Moja Au Ni Lugha Mbalimbali Tofauti, Jambo Ambalo Limeleta Utata Mwingine wa Kwamba Kama, Je Wachagga Ni Jamii Moja Au Ni Jamii Mbalimbali Zilizojikuta Zinaishi Kwenye Mlima Kilimanjaro na Kuamua Kujiita Kwa Pamoja Wachagga? –...
  2. LENGISHO

    Kanali Mamadi Doumbouya awasihi viongozi wa dini kuacha matabaka

    Raisi wa mpito wa Guinea aliyetwaa madaraka baada ya kufanya mapinduzi nchini Guinea, ameanza kutoa masomo ya kizalendo kwa taifa hilo, Afrika na duniani kote. Siku ya Ijumaa, Kanali Doumbouya na walinzi wake waliandaliwa siti za mbele katika msikiti wa Boulbineti huko mjini Conakry nchini...
  3. LENGISHO

    #COVID19 Matumaini: Dawa ya COVID-19 yadaiwa inakaribia kupatikana

    Jaribio la wanasayansi kubaini dawa ya homa ya Uviko-19 linaelekea kuzaa matunda baada ya kuwapo kwa taarifa za matumaini makubwa vidonge vya ‘Molnupiravir’ kufanya kazi kwa ufanisi kutibu ugonjwa huo. Dawa hiyo iliyofanyiwa majaribio na kampuni ya kimataifa ya kutengeneza dawa ya Merck iliyopo...
  4. LENGISHO

    Kibu Denis raia wa Tanzania mzaliwa wa DRC

    [emoji404]Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema kuwa serikali imempatia uraia wa Tanzania mshambuliaji wa klabu ya Simba SC, Kibu Denis kwa mujibu wa Sheria ya Uraia, Sura ya 357 (Rejeo la 2002), baada ya kupokea ombi kutoka TFF kupitia Wizara ya Sanaa, Utamaduni na...
  5. LENGISHO

    Dawa gani nzuri ya kutibu Fungus?

    WanaJf naombeni ushauri je ni dawa hani Nzuri ya kutibu Fangas sehemu za Siri ? Nimeshatumia dawa lakin naona mambo hayakai sawa ... Naombeni ushauri
  6. LENGISHO

    Leo nataka nifanye kautafiti kadogo kanachochekesha

    Men, unaweza kumwambia mwanaume mwenzio "I Love You"? Embu chukua simu yako nenda kwenye sehemu ya kuandika ujumbe mfupi mwandikie rafiki yako wa Kiume, Anza na salamu, umwambie you Love him then utume screenshot hapa alivyokujibu!![emoji1]
  7. LENGISHO

    Je, TFF imeamua kuudanganya Umma kwa makusudi?

    Kwa hizi takwimu TFF Watueleze inamaanisha uwezo wa uwanja wa Mkapa ni mkubwa kuliko Estadio Camp Nou F.C. Barcelona ambayo inabeba mashabiki 99,354 au Rungrado May Day Stadium wa huko Korea ya kaskazini wenye uwezo wa kubeba mashabiki 150,000 au uwanja wa Wembley wa nchini Uingereza ambao...
  8. LENGISHO

    Ushahidi wa Inspecta Omari Mahita Omari katika kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzie

    wakili Nashon: kati yako na Kingai nani alikuwa na nafasi nzuri ya kuwaona watuhumiwa? shahidi: wote wakili Nashon: kwa hiyo ni sahihi nikisema kuwa alichokiona kingai ndicho ulichokiona wewe? shahidi: kama nilivyosema mimi nilitokea kwa mbele.. WAKILI Nashon: ieleze mahakama kuwa kati ya...
  9. LENGISHO

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Marekani lasimika askofu wa kwanza anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Inavunja moyo na kuumiza kusikia na kuona Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Marekani (Evangelical Lutheran Church of America) limemsimika rasmi Askofu wa kwanza anayejihusisha hadharani na mapenzi ya jinsia moja (shoga). Si mwingine ni Askofu Megan Rohrer. Askofu huyu anayejihusisha na mapenzi ya...
  10. LENGISHO

    Benki ipi haina makato makubwa sana?

    Wadau naombeni kujua ni bank ipi ambayo makato yake si makubwa sana
  11. LENGISHO

    NELSON MANDELA mwanasaikolojia ambae hakusoma Saikolojia

    Mwaka 1990 Wakati Mandela Officially Anatolewa Gerezani Vijana Walio ANC wakati huo na wale wengine wasiokua ndani ya chama nyoyo zilikua zimewaka moto morale ilikua juu sana . Katika speech yake ya kwanza akiwa huru wengi wa vijana hao walienda na mapanga na marungu kumsikiliza kiongozi wao...
  12. LENGISHO

    Antonio Nugaz amwita Manara "Msukule"

    Kuna dalili Kuwa Yanga ikaenda kupasuka pasuka , hii n baada ya Video iliyorekodiwa na Nugazi na mashabiki wa Yanga. Video hyo inasikika sauti ikidai kuwa Msukule wa Simba wamemchukua ( Ifahamike kuwa hakuna biashara ya mchezaji au kocha yeyote aliyetoka simba kwenda Yanga) mtu pekee aliyeenda...
  13. LENGISHO

    Tusimlaumu Rais Samia Suluhu Hassani katika tozo

    Ni Ngumu kusema tusimlaumu mama Samia Hasan Suluhu ila ndio hivyo hatuna namna lazima iwe hvyo , Huu ndio ukwel Mchungu Wa Kumlaumu n Mtangulizi wake Marehem JPM kwani inawezekana Hazina hakukuwa na kitu , kama Mnakumbuka mwanzoni baada ya kifo cha Jpm ilisemekana nyumban kwa Bashiru na Dotto...
  14. LENGISHO

    Wanafunzi waliopata mimba wakiwa shuleni wana haki ya kuendelea kusoma

    Leo asubuhi nikiwa najiandaa kuelekea katika shughuli zangu za kila siku nikiwa nimefungua Radio free kusikiliza yaliyojiri magazetini ,kabla ya kipindi kuanza palipita tangazo , tangazo hilo ni mwanafunzi alikuwa Analia kwa sababu amepatiwa mimba na hawezi kwenda tena shulen kwasababu ya...
  15. LENGISHO

    Tanzania yashtakiwa kwa kuzuia wasichana wajawazito kuendelea na masomo

    Taasisi ya kimataifa ya kutetea haki za wanawake, Equality Now ikishirikiana na washirika wake nchini Tanzania, wamewasilisha kesi dhidi ya serikali ya Tanzania katika mahakama moja ya Afrika inayoshughulikia masuala ya kibinadamu na haki baada ya nchi hiyo kuweka marufuku kwa wasichana...
  16. LENGISHO

    Hospitali za Serikali kuna uzembe wa hali ya juu

    Habari ndugu zangu wana JF? Natumai humu wote n wazima naombeni niwasilishe humu japo kwa ufupi sana. Sikio lilikuwa linamuuma sana nileambiwa sitoweza kupatiwa matibabu maana daktari bingwa wa magonjwa ya masikio hayupo na badala yake atafika siku ya Jumamosi, niliona isiwe shida baadae...
  17. LENGISHO

    Makampuni yanayoongoza kwa huduma Mbovu

    Kampuni zinazoongoza kwa poor customer service, huduma mbovu kabisa 1.Vodacom 2.RITA hasa ofisi ya Kilimanjaro 3.TTCL
  18. LENGISHO

    Jifanye wewe ndio mgaga wa kienyeji unipe masharti

    Embu tufanye wewe ndio mganga wakienyeji nimekuja kwako ili nipate utajiri utanipa masharti gani [emoji2296][emoji2296][emoji2296]
  19. LENGISHO

    Baba na mama walitaka kutoa mimba yangu

    Wadau leo nimekutana na changamoto moja kali ambayo mpaka sasa nimeahindwa kuitolea ufumbuzi ...iko hivi kuna rafiki yangu anafanya kazi kwenye NGO moja hiv .. Kiuchumi anajiweza sana tena si kidogo ,ila mwezi uliopita wakiwa mapumziko ya weekend aliamua kumtoa out baba yake maana baba yake...
  20. LENGISHO

    Dawa ya chango ni nini?

    Wadau naombeni kuuliza dawa ya chango ni nini kwa mzazi ? Naomban msaada wenu sana
Back
Top Bottom