Baba na mama walitaka kutoa mimba yangu

Baba na mama walitaka kutoa mimba yangu

LENGISHO

Senior Member
Joined
Sep 15, 2017
Posts
169
Reaction score
265
Wadau leo nimekutana na changamoto moja kali ambayo mpaka sasa nimeahindwa kuitolea ufumbuzi ...iko hivi kuna rafiki yangu anafanya kazi kwenye NGO moja hiv ..

Kiuchumi anajiweza sana tena si kidogo ,ila mwezi uliopita wakiwa mapumziko ya weekend aliamua kumtoa out baba yake maana baba yake alikuwa amemwomba sana watoke nae angalau siku moja wazungumze mawil matatu nae ...

Baba aliamua kumweleza hali halisi kabla hajazaliwa.. kutokana na hali ngumu ya maisha waliyokuwa nayo wazazi wake mama yake alibahatika kupata mtoto wa kwanz wa kume( kaka yake huyu jamaa) akiwa na umri wa mwaka na nusu alibeb mimba nyingne isiyotarajiwa hivyo ukilinganisha na hali ya uchumi lile swala lilimuumiza sana baba yake baadae waliamua kushauriana na mama yake wakaitoe hiyo mimba ..

Ila mama yake alikuwa mwoga sana alihofia maish yake maana kwenye abortions lolote linaweza tokea ..huko nyuma baba yake alikuwa amewahi kuapa kwa kitabu cha dini kuwa hataitokee nini hawezi fanya abortion lakin mara hii alikuwa hakumbuki agano lake mpaka pale mkewe alipomkumbusha na hiyo ndio ikawa ponea ya huyu rafiki yangu ....

Rafiki yangu mpaka sasa bado swala hili linamuumiza sana .. anamlaumu sana baba yake kwanini alitaka kumuua ..

Embu tumpe ushuri huyu jamaa afanye nini
 
Wangemtoa tu maana hana shukrani amepewa habari ambayo asingeipata kokote alafu anaanza kulaumu 😨
 
Kulikuwa na sababu ya kumwambia mambo ya kabla ya kuzaliwa kwake? Ajaribu kuyasahau hayo, na ajikite katika maisha halisi yaliyotokea mpaka alipofikia.
 
Gusa Ninuke Approach
Acheni kufukua makaburi
 
As long as waliahirisha mawazo yao mabaya, hawana kosa na wala hakuna tatizo lolote.

Kama wangeenda Hospital kabisa kutoa halafu wakashindwa wangekuwa na makosa ambapo hata hivyo angepaswa tu awasamehe.

Huyo rafiki yako atakuwa matatizo ya kisaikolojia, ongea nae umsaidie
 
Back
Top Bottom