LENGISHO
Senior Member
- Sep 15, 2017
- 169
- 245
Habari ndugu zangu wana JF?
Natumai humu wote n wazima naombeni niwasilishe humu japo kwa ufupi sana.
Sikio lilikuwa linamuuma sana nileambiwa sitoweza kupatiwa matibabu maana daktari bingwa wa magonjwa ya masikio hayupo na badala yake atafika siku ya Jumamosi, niliona isiwe shida baadae nilrudi hosptalin hapo kwa tarehe niliyotajiwa kwa bahat nzuri nilimkuta docka na aliniandika dawa na alimwekea katika sikio dawa ile baada ya hapo sikio ndio lilizidi maumivu maradufu kuliko mwanzon niliamua kusoma ile dawa nilikuta imeandikwa FOR EXTERNAL APPLICATION ONLY hapo ndipo nilipopatwa na wasiwasi zaidi maana docta alidai sikio lina tatizo la fangas
Baadae niliamua niende hosptali nyingne ya binasf walishtushwa na aina ya dawa niliyopewa na wakambadilishia dawa ila sikio lilishaanza kupoteza uwezo wa kusikia maana ile dawa niliyopewa mwanzoni ilienda kuziba sikion na wamejarb kuliosha matumain yako kwa kias fulani.
Uzembe huu ungeweza kumsababishia ukilema wa kutosikia kabisa
Dawa yenyewe ni hii hapa wadau