Search results

  1. Royal Son

    Original TWS Earbuds

    Original TWS Earbuds Genuine Assured [emoji736] Bluetooth Version 5[emoji736] High Capacity Long Endurance 4-5 hrs New Type-C Interface Very Soft & Comfortable Tsh 40,000/= [emoji403] Free Delivery in ArushaTunatuma Mikoa Yote [emoji817] Calls/Msg/whatsApp +255712350159
  2. Royal Son

    Hii ina ukweli ?

    Heri ya Mwaka wakuu nimeikuta mahali ina ukweli hii
  3. Royal Son

    INAUZWA Jipatie Lige Smart Watch kwa bei poa

    Lige Smart Watch Genuine Assured[emoji736] answer Calls & Make Calls and Msg[emoji736] Get an extra Strap Measure[emoji736] 7 days with Charge [emoji736] Steps, Calories, Steps, Weather [emoji736] control Music & Camera [emoji736] Sports Modes [emoji736] Tsh 75,000/= [emoji626] Free Delivery...
  4. Royal Son

    Ukimaliza dozi ya Cefadroxil unatakiwa kukaa muda gani ndipo uanze kunywa pombe

    Na Imani mko poa kuna rafiki yangu hapa katumia Antibiotic inaitwa Cefadroxil anasema kamaliza Dose mchana je inakaa kwenye mwili masaa mangapi ili aendee kunywa Pombe. [emoji120]
  5. Royal Son

    INAUZWA Jipatie Wireless Earbuds kwa bei nafuu - Arusha

    Original Wireless Earbuds TWS Deep bass and 3D Sound Active Noise Cancelation Touch Control Long life battery Charging time 1.5 hrs Bluetooth Version 5.0 Designed for Comfort and Stability.. Compatible with both Android and iOS Arusha Tsh 40,000/= 0712350159
  6. Royal Son

    Mke akiwa Rais mume wake anaitwaje?

    Habari za jioni Wakuu, Nina swali hivi Rais akiwa Mwanaume mke wake huitwa First Lady. Je, Mke akiwa Rais mume wake anaitwaje?
  7. Royal Son

    Natafuta kazi za ndani kama vile kufua, usafi, madukani au hotelini

    Naitwa Esther Frank mgobasa Nimezaliwa 16/01/1990 Mkoa wa Njombe nimesoma na kumaliza. Shule msingi mambegu mwaka 2005. Na kuendelea Shule ya Secondary Luduga sec na kumaliza Mwaka 2009 nakuendelea Chuo cha Brige Institute of Community development 2010-2011 nikahitimu Ngazi ya cheti...
  8. Royal Son

    Kuna siku nililalia bega vibaya, sasa tokea siku hiyo bega limekufa ganzi na lina uma

    Habari wakubwa, Naenda kwenye tatizo kuna siku nililalia bega vibaya, sasa tokea siku hiyo bega limekufa ganzi na lina uma. Yaani na lala kwa tabu sana wakuu tiba ni nini naombeni msaada wenu. Ahsante. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Royal Son

    Mwalimu alivyokula mahindi ya Shule

    LIKIZO #Siku1 STUDENT: Hello sir, bila Shaka ni Sir Jonare? MWALIMU: Ee Mimi hapa, naongea na nani? STUDENT: Aaah angalau, unaongea na Veronica Saguda nimeomba namba yako kwa Yakobo MWALIMU: Veronica, mwanafunzi wa form four au? STUDENT: Ndiyo sir shikamoo MWALIMU: Marahaba hujambo Vero STUDENT...
  10. Royal Son

    Tigo Pesa, Pesa zetu zipo Salama ?

    Ndugu Mteja, Kutakua na maboresho ya huduma za Tigo Pesa leo kuanzia saa 6 usiku mpaka 12 asubuhi. Tafadhali fanya miamala yako kabla na baada ya muda huo Hiyo ndio Sms niliyotumia jana ila mpaka muda hii saa 11:37 bado haifanyi kazi mnafeli wapi ? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Royal Son

    RB au kesi huchukua kiasi gani kuisha muda wake?

    Habari wakuu, Hapa ndiyo sehemu yangu ya kupata maarifa. Naomba kuuliza RB huchukua muda gani kufika ukomo wake? Pia, kesi mahakamani huchukua muda gani kufutwa endapo mtuhumiwa hakuonekana mahakamani au kakimbia? Asanteni.
  12. Royal Son

    Naomba kujua Billing Zip Code ya Tanzania

    Habari wakubwa Naomba kujua Billing zip code ya Tanzania nataka kufanya manunuzi Online sasa wanataka hiyo nimejaribu 00000 imekataa, nimejaribu pia 23100 imekataa. Wakuu msaada.
  13. Royal Son

    Maziwa Fresh yasiyochemshwa yana madhara?

    Habari wakubwa, Naomba kuuliza hivi ukinywa maziwa fresh yasiyochemshwa kuna faida au madhara yoyote wakuu sababu nayapenda sana maziwa mabichi.
  14. Royal Son

    Misemo ya nyimbo zetu

    Kuna misemo mizurii ipo na pia ipo mibaya mimi naanza na mizuri Mrisho Mpoto-Waliopo hatuwataki na wanaotaka tuwape hatuwaamini Mwana FA -usipende amani wakati wa vita Fid Q- Ukweli hauna Miguu lakini Uongo una mabawa Malizia zingine .... Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Royal Son

    Natafuta kazi ya udereva

    Wazima Huku Nina Miaka 26 Jinsia ni Mme nincheti cha Form 4 mimi ni dereva mzoefu nina uzoefu wa miaka 6 na pia nina uzoefu wa safari ndefu madaraja ya Leseni yangu ni haya A,B,D na E napia nimesoma Tour Guide na nina Basic Certificate in Eletronics Maintenance Nipo tayari kufanya kazi...
  16. Royal Son

    Cheka kidogo uongeze siku

    *Dogo kanitumia meseji akiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" nikamuuliza "pckt mny ndio nini?” Anajibu ni kifupi cha "pocket money" Baadaye nikamtumia 10,000, akaniuliza hiyo hela ni ya nini? Nikamwambia ni kifupi cha 100,000.* _*Na hii ni mpaka afunge shule*_ _Mambo ya...
  17. Royal Son

    WATANZANIA HAWAJUI WANACHOKITAKA

    Nimefanikiwa kujua sisi Watanzania hatujui tunataka nini RC Makonda alipoanza kufuatilia madawa ya Kulevya mkaanza mara cheti alitumia cha mtu mwingine alipokuwa DC hamkuwepo au alikuwa na cheti halisi Mkaanza mara J.K mpole sana anatakiwa Rais Mkali kaja JPM mnaanza kusema sijui Dikteta...
  18. Royal Son

    WANASIASA HAWARIDHIKI KAMWE

    Mzee wa Ruksa mlisema kwake yeye kila kitu sawa sijui aliuza kile lawama zikawa nyingi Mzee wa Mtwara mkasema naye sijui ufisadi umekuwa mwingi mara sijui Znz Mzee wa msoga mkasema yeye full time ni kusmile tuuu mara hana maamuzi mkasema anatakiwa Raisi mwenye maamuzi magumu Mjomba Magu...
  19. Royal Son

    Dhambi ya uenezaji wa vitendo vichafu vya kimapenzi(pornography)

    Vitendo hivi vyakimapenzi havikutengenezwa kwa ajili ya starehe au vichekesho,viko rasmi kuangamiza wanaoviigiza na watazamaji wao pia.Vinamlisha mtu tamaa ambayo inampa kuwa na njaa zaidi. Hii ndio inayopelekea matokeo ya mtu kufanya punyeto na matendo yote ambayo yanahusiana na tendo la ndoa...
  20. Royal Son

    Hahaha cheka kidogo

    Leo admin kwenye group flani iv kasema wanawake ni kama vocha ukishatumia unatupa tuu , Nikamuuliza Dada yake ni mtandao gani Nashangaa naambiwa " You can't send massage to this group because u're no longer partcipant , Sasa sijui kosa langu ni nini jaman ... [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]...
Back
Top Bottom