Kuna siku nililalia bega vibaya, sasa tokea siku hiyo bega limekufa ganzi na lina uma

Royal Son

JF-Expert Member
Dec 22, 2016
587
974
Habari wakubwa,

Naenda kwenye tatizo kuna siku nililalia bega vibaya, sasa tokea siku hiyo bega limekufa ganzi na lina uma.

Yaani na lala kwa tabu sana wakuu tiba ni nini naombeni msaada wenu.

Ahsante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu tafuta mtu akukande vzur kisha upande ile dawa ya kuchua...

Hope utapona
 
Back
Top Bottom