RB au kesi huchukua kiasi gani kuisha muda wake?

Royal Son

JF-Expert Member
Dec 22, 2016
545
1,000
Habari wakuu,

Hapa ndiyo sehemu yangu ya kupata maarifa. Naomba kuuliza RB huchukua muda gani kufika ukomo wake?

Pia, kesi mahakamani huchukua muda gani kufutwa endapo mtuhumiwa hakuonekana mahakamani au kakimbia?

Asanteni.
 

Igombe fisherman

JF-Expert Member
Apr 28, 2017
1,355
2,000
Ukitoroka gerezani unatafutwa miaka 99 toka siku ya kutoroka. Ule mwaka wa 100 hata ukienda mpaka kwenye lango la gereza hakuna wa kukuhoji. Ila kuhusu kesi zingine sijui. Niliambiwa na askari magereza mmoja hivi jirani yangu
 

Royal Son

JF-Expert Member
Dec 22, 2016
545
1,000
hii nilishawahi kisikia mahali
Ukitoroka gerezani unatafutwa miaka 99 toka siku ya kutoroka. Ule mwaka wa 100 hata ukienda mpaka kwenye lango la gereza hakuna wa kukuhoji. Ila kuhusu kesi zingine sijui. Niliambiwa na askari magereza mmoja hivi jirani yangu
 

Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
7,734
2,000
Ulitaka uendelee kujificha?!

Unaweza hama nchi, lakini usihamie nchi yenye mkataba wa kubadirishana watuhumiwa na Tanzania.

Au kajibadirishe sura na alana za vidole upate utambulisho mpya, kuna nchi hazina uwezo wa kubaini watuhumiwa waliojibadirisha sura na kuharibu alama za vidole. Hivyo unaweza kuwa salama kwa namna hii.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom