Misemo ya nyimbo zetu

Royal Son

JF-Expert Member
Dec 22, 2016
587
974
Kuna misemo mizurii ipo na pia ipo mibaya mimi naanza na mizuri

Mrisho Mpoto-Waliopo hatuwataki na wanaotaka tuwape hatuwaamini

Mwana FA -usipende amani wakati wa vita

Fid Q- Ukweli hauna Miguu lakini Uongo una mabawa

Malizia zingine ....


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatoa hutoi by Dulla Makabila.
Nasikia huyu jamaa kafungwa jela miaka 30 baada ya kutia mimba denti.Mwenye info zaidi akuje hapa!!
 
Mwana Fa - Dhamiri ikipanda hata msuli utafungwa mkanda.

Mwana Fa- Siku huisha kabla ya kuanza mpya
 
Shida yangu- Toskan Nzimbhu wa FM academia kuna rapa anasema "nasikia kwamba ukikula demu unahama njia tabia gani hiyoooo tabia gani hiyooo".

Kuna kipande Toskan anaimba anasema wewe muke ni mukuluta tu jibu lako liwe la heshima kwa mume wako
 
"furaha kuchezewa mwili na mpenzi kuliko kuchezewa akili na washenzi".By young killer
 
furaha kuchezewa mwili na mpenzi kuliko kuchezewa akili na washenzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom