Royal Son
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 774
- 1,418
Leo admin kwenye group flani iv kasema wanawake ni kama vocha ukishatumia unatupa tuu , Nikamuuliza Dada yake ni mtandao gani Nashangaa naambiwa " You can't send massage to this group because u're no longer partcipant , Sasa sijui kosa langu ni nini jaman ...