Cheka kidogo uongeze siku

Royal Son

JF-Expert Member
Dec 22, 2016
587
974
*Dogo kanitumia meseji akiwa shule "Baba naomba unitumie 100,000 ya pckt mny" nikamuuliza "pckt mny ndio nini?” Anajibu ni kifupi cha "pocket money" Baadaye nikamtumia 10,000, akaniuliza hiyo hela ni ya nini? Nikamwambia ni kifupi cha 100,000.*

_*Na hii ni mpaka afunge shule*_







_Mambo ya kataka vitu kiufupi ufupi hayamuachi mtu salama_
 
Back
Top Bottom