WANASIASA HAWARIDHIKI KAMWE

Royal Son

JF-Expert Member
Dec 22, 2016
774
1,418
Mzee wa Ruksa mlisema kwake yeye kila kitu sawa sijui aliuza kile lawama
zikawa nyingi

Mzee wa Mtwara mkasema naye sijui
ufisadi umekuwa mwingi mara sijui Znz


Mzee wa msoga mkasema yeye full time ni kusmile tuuu mara hana maamuzi
mkasema anatakiwa Raisi mwenye maamuzi magumu


Mjomba Magu naye mmeanza kulalamika hali ngumu ana maamuzi magumu lawama nyiiingi

sasa Tumuombe Mungu Atuletee Rais ambaye ni Malaika
Amen


yalikuwa tu ni maombi yangu tuuu
 
Back
Top Bottom