Royal Son
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 775
- 1,419
Vitendo hivi vyakimapenzi havikutengenezwa kwa ajili ya starehe au vichekesho,viko rasmi kuangamiza wanaoviigiza na watazamaji wao pia.Vinamlisha mtu tamaa ambayo inampa kuwa na njaa zaidi.
Hii ndio inayopelekea matokeo ya mtu kufanya punyeto na matendo yote ambayo yanahusiana na tendo la ndoa.
Wanaume na wanawake wajinga hupenda kuangalia kwa ajili ya starehe bila kujua kwamba wanaalika mapepo ya tamaa kwenye nafsi zao.
Nimlango mkuu kwa mapepo kuingia.Hayahitaji kuwa na funguo ya ziada ili kuwepo ndani ya chumba chako.Yanakuhitaji wewe tu utazame bidhaa zao na yatakuingilia kupitia kuta hizo.Unapokaa chini peke yako nakutazama kitu kwenye runinga yako tafadhali kumbuka kwamba hauko peke yako.
Kuna viumbe viovu vinatazama udhaifu wako ili vikuvamie.Pale mapepo yanapojua kwamba wewe ni dhaifu katika eneo flani,yanafanya iwe vigumu kwa wewe kushinda eneo hilo.Utaelewa kwanini watu huwa wanaendelea kuanguka katika dhambi ile ile mara zote tena na tena!
Habari njema nikwamba,bado unaweza kushinda ndani ya Yesu.Kupitia nidhamu,maombi na kufunga,vinginevyo mapepo hayo yataweka vikwazo katika njia zako ili kukukamata kwa hiyo hatuwezi kuwa marafiki tusiojali.
Wanaume na wanawake wengi saaana wameshikwa na vitendo hivi vyakimapenzi na wanateseka sana kuondokana navyo baada yakuona athari zake.
Hata baadhi yawachungaji wameanguka katika hivyo.Lazima tujue kwamba waigizaji wanatumiwa na mapepo kuenda mbali kiasi hicho katika kuidhalilisha miili yao.
Wanaume waliooa na wanawake walioolewa ambao niwaathika wa vitendo hivi wanapata wakati mgumu sana kulala na wenzi wao,vijana na mabinti ambao hawajaolewa pia wanafanya punyeto.
Vitendo hivi vyakimapenzi ni hatari sana,ni rahisi kuangalia lakini ningumu sana kuondokana navyo.Wameviwekea alama kwamba Nikwa ajili ya watu wazima ni vipindi ambavyo wengi wanavipenda!!
Rafiki yangu aliwahi niambia miaka kadhaa iliyopita kwamba ni sahihi kuangalia vitendo hivi vyakimapenzi ukiwa na mwenzi wako kama mmeoana,huo ulikuwa uongo!Sikubaliani nae,sikuwa mjinga kama yeye alivyokuwa.
Kama Yesu hakuangalia sisi ni nani hata tutazame?,hali tukijua sisi ni bibi harusi na hekalu lake.
Watu wanaotazama vitendo hii vya kimapenzi kupitia picha za ngono,vipindi vya runinga,utube,redio na njia zote huishia kuwa na tamaa kali za ngono zisizozuilika kwa sababu wamealika mapepo ya tamaa kuishi nao
Mara roho hizo chafu zinapoleta tamaa hiyo huwezi kushinda muhemko huo bali utaishia kufanya tendo hilo na chochote kilicho mbele yako,haijalishi ni ndugu wakaribu,mtoto au hata mnyama.
Hii imepeleka wengi gerezani.Namna ambavyo waathirika wa vitendo hivi wanavyoongezeka katika jamii zetu inashtua jamii zetu.
Marafiki,fungeni macho yenu msiangalie picha chafu kabla hazijawaangamiza.Baadhi ya watu hawana mshipa wa aibu na wanatuma vitendo hivi vya ngono katika runinga za kikristo,facebook na katika mitandao mingine yakijamii.
TAFADHALI FUTA AU WAFUNGIE WATU KAMA HAO WASIWASILIANE NAWEWE TENA
Wanawapeleka watu wengi kuzimu.
Mtu mmoja aliyekuwa ameathiriwa sana na vitendo hivi vyakimapenzi alikiri kwamba katika maisha yake alikuwa amengamizwa na hivyo.Iliharibu picha yake ya namna anavyowaangalia wanawake.Aliona wanawake si kitu bali vyombo/vifaa vya ngono
Warumi 6:13
Wala msiendelee kuvitoa viungo vyenu kuwa silaha za dhuluma kwa dhambi;bali jitoeni wenyewe kwa Mungu kama walio hai baada ya kufa,viungo vyenu kwa Mungu kuwa silaha za haki
Nini kitamsaidia mtu kushinda dhambi hii,ni hofu takatifu ya Mungu ndani ya mtu,hali ukijua kwamba itakuwa aibu kuweka macho yako katika picha chafu ilihali Bwana kaketi mbele yako.
Vitendo vya ngono vinaua,Viangamize kabla havijakuangamiza.
Jitunze nafsi yako katika usafi!!
Wewe ni hekalu la Mungu.