Natafuta kazi ya udereva


Royal Son

Royal Son

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Messages
368
Likes
376
Points
80
Age
27
Royal Son

Royal Son

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2016
368 376 80
Wazima Huku
Nina Miaka 26 Jinsia ni Mme
nincheti cha Form 4 mimi ni dereva mzoefu nina uzoefu wa miaka 6 na pia nina uzoefu wa safari ndefu madaraja ya Leseni yangu ni haya A,B,D na E
napia nimesoma Tour Guide na nina Basic Certificate in Eletronics Maintenance Nipo tayari kufanya kazi yoyote au kwenda kufanya kazi popote pale

Mawasiliano 0712-350-159
Asanteni
 

Forum statistics

Threads 1,215,091
Members 463,036
Posts 28,535,451