Search results

  1. menny terry

    Kwanini mikoa iliyotawaliwa na Mwarabu watu wake ni wavivu balaa?

    Wakuu habari zenu, Ni muda sijapita humu, leo nimeibuka na swali ambalo limekuwa likinisumbua Kwa muda sasa. Nina vi project vyangu hapo Bagamoyo na Pale Kilwa. Tangu nianze mpaka sasa napata wakati mgumu sana wa kupata vijana wachapa kazi. Huku vijana ni wavivu mno! Mambo ya kuchimba mashimo...
  2. menny terry

    Umasikini wa kutisha hapa Marekani

    Wakuu, Heri ya mwaka mpya! Ni muda sijaingia hapa Jamvini, hasa baada ya kuwa busy na mambo ya kimaisha. Leo nataka kuzungumzia umaskini wa kutupa kwenye Taifa hili kubwa kuliko Yote duniani kiuchumi yaani USA. Nimepita mitaa ya Skid Row hapa downtown Los angeles, silicon valey kule Bay...
  3. menny terry

    Maisha ya Marekani - Ukimya, Upweke, Magari n.k

    Wakuu, Leo nataka nigusie kwa kifupi maisha kwenye Taifa hili kubwa zaidi duniani. Nitagusia kwa hapa jijini Los Angeles, jiji hili lipo kwenye jimbo la Califonia, Jimbo tajiri zaidi hapa Marekani, Nimekuwa niki yatazama kwa karibu sana na kugundua yafuatayo. 1. Kwanza ni Maisha yaliyojaa...
  4. menny terry

    Majumba ya kifahari ndani ya pori hapa Arusha ni mfano wa kuigwa

    Wakuu, Waswahili wanasema tembea uone! Katika pitapita zangu kama vlogger huku Arusha nimekutana na majumba ya kifahari, viwanja vya Golf, mito ya maji safi, wanyama mbalimbali na makazi yenye ubora wa hali ya juu vyote vikiwa ndani ya pori! Yaani wakati tunabanana hapo mwananyamala na Manzese...
  5. menny terry

    Kwanini mji wa Moshi unarudi nyuma kimaendeleo?

    Wakuu, wakati miji kama Arusha inakuwa kwa kasi ya ajabu mji wa Moshi mambo ni tofauti kabisa, Moshi inazidi kurudi nyuma. Nini kimeukumba mji wa Moshi, mbona hakuna maendeleo yoyote ya maana? Miaka ile ya uhuru Moshi ndo ilikuwa kitovu cha biashara, kwasasa Moshi inatia huruma! Viwanda vyote...
  6. menny terry

    Fursa ya kuwekeza kwenye biashara ya hostel kigamboni.

    Wakuu, Waswahili wanasema “kizuri gawia mwenzako” Hivyo basi kama Vlogger katika pita pita zangu nimekutana Na viwanja viwili vizuri sana vinavyouzwa pale kigamboni mikwambe karibu kabisa Na chuo cha “City college of health and allied science”. Chuo kinachokuwa Kwa kasi sana. Chuo kile kutokana...
  7. menny terry

    Ujenzi wa flyover mbili hapa Mbezi Mwisho ni kazi nzuri sana

    Wakuu, Ujenzi wa flyover mbili hapa Mbezi Mwisho kwenye barabara ya Morogoro kutasaidia sana kuondoa sintofahamu ya mabasi ya mikoani ambayo yote husubiria kutokea haka kabarabara kamoja kanakoenda mbezi Goba hivyo kupelekea msongamano wa magari usio Na lazima hapa mbezi mwisho. Kwa Hilo...
  8. menny terry

    Majengo Pacha ya PSSF upande wa maofisi bado yako wazi

    Wakuu, Majengo Pacha ya PSSF pale posta kwakweli yanalipendezesha mno jiji letu na kulipa muonekano kwa kipekee sana. Unapokuja Na boti kutokea Zanzibar ndo unapata view moja ya kibabe sana ya Yale majengo. Kwa hilo nazipongeza taasisi husika. Nime share hapo kwa link ya Youtube. [emoji116]...
  9. menny terry

    Soko Kuu la Samaki Kivukoni asilimia kubwa samaki wanatoka nje ya nchi

    Wakuu, Kama Vlogger ambaye huwa natembelea na ku share mambo mbalimbali ninayo yaona kwanza nipongeze mamlaka husika Kwa usimamizi mzuri wa soko kuu la samaki kivukoni, ila nimeshangazwa sana nilipotembelea soko kuu la samaki kivukoni na kugundua asilimia kubwa ya samaki wanaagizwa nje ya nchi...
  10. menny terry

    Dar City Center kumependeza sana. Nchi zote za Afrika Mashariki na Kati tumeziacha mbali

    Wakuu, Nimetembelea city center kwakweli kumepemdeza sana. Niipongeze halmashauri kwa usafi wa hali ya juu. Kwakweli city center ya hapa Dar es salaam imeifunika miji mingi sana Africa. Majengo marefu kabisa katikati ya jiji yanaifanya city center yetu kuwa number moja africa mashariki na Kati...
  11. menny terry

    Gazeti la Raia Mwema: Je, kuna ajenda ya udini?

    Wakuu, Gazeti la Raia Mwema lilikuwa ni mojawapo ya magazeti makini sana Kwa kuandika makala yakinifu zenye kujenga sana. Ajabu ni kuwa Siku za Karibuni Kwa hali isiyokuwa ya kawaida gazeti hili Kila siku ni ku report kuhusu migogoro ya dini na madhehebu fulani. Hakuna dini wala dhehebu...
  12. menny terry

    “Mwanyamala kwa wahaya” ni zaidi ya Sodoma na Gomora!

    Wakuu, Kwa hali isiyokuwa ya kawaida biashara ya dada zetu kujiuza inazidi kushamiri maeneo ya Mwananyamala kwa wahaya, Maeneo haya yamejengwa vibanda vingi sana na wanawake hujiuza hata mchana kweupe kabisa. Nimekuwa nikifanyia shirika fulani utafiti unaohusu sex workers na hapa nita share...
  13. menny terry

    Mradi wa mlimani city!

    Wakuu, Mlimani city ndio mradi pekee wa ubia Kati ya Taasisi ya Serekali Na Sekta binafsi ambao mpaka leo unazidi kustawi! Kumekuwepo Na tuhuma za ufisadi lakini kamwe hazijawahi kuthibitishwa hivyo zinabakia kuwa ni udaku tu! Mbali Na mlimani city pia kuna uwekezaji wa kampuni ya mafuta ya...
  14. menny terry

    Kaole Old Port na Makaburi ya Maburushi huko Bagamoyo

    Wakuu, Kama filamu ya Royal tour itakuwa na part two basi haya maeneo yatakuwa ni mazuri mno kuunganishwa Kwa filamu hiyo. Itasaidia sana kuongeza utalii Na kuinua uchumi wa eneo la bagamoyo. Baada ya kuyatembelea huko bagamoyo nimeshangaa sana kwanini hayatangazwi zaidi kwani yamebeba historia...
  15. menny terry

    Mradi wa barabara ya mwendokasi Kilwa Road

    Wakuu! Jana nimetembelea kujionea maendeleo ya ujenzi wa kipande hiki cha barabara kutokea mbagala hadi kariakoo! Hakika inapendeza sana. Asilimia kubwa imekamilika hivyo soon mradi huu utakuwa unaanza kazi! Lakini tofauti niliyoiona ni kuwa ile awamu ya kwanza ambayo ilijengwa Na strabag...
  16. menny terry

    Mbezi Beach Area: Dar es Salaam’s wealthiest neighborhood

    Wakuu, Mbezi beach Kwa sasa ni eneo linalo kuja kwa kasi sana hapa mjini! Vijiwe vya kula bata kama Juliana, the oasis. Mahotel ya nyota tano kama Ramada na white sand, viwanda vya kutosha , media mbali mbali kama E fm na Clouds plus, Kumbi za kisasa za harusi plus majumba ya kifahari ya...
  17. menny terry

    Changamoto ya Mwai Kibaki road kutoka Kawe hadi Morocco

    Wakuu, Wakati umefika sasa wenye mamlaka huku juu wakasikia kilio chetu watumiaji wa barabara ya mwaikibaki ipanuliwe! Walau iwe njia nne kama ya Sinza shekilango road. Kwa sisi watumiaji kwakweli inakuwa changamoto sana hasa wakati wa asubuhi Na jioni siku za kazi kwani foleni ni kali sana...
  18. menny terry

    Ni kwanini Final za Uefa champion league zisionyeshwe kijazi interchange?

    Wakuu, Tarehe 28 kutakuwa Na fainali za UEFA champion league Na tukio hilo litaonyeshwa pale Tanzanite bridge sambamba Na filamu ya Royal Tour! Ni jambo zuri sana Ila mtazamo wangu kwanini wasingetumia pale Kijazi interchange? Maana kuna ile sehemu ya mwendokasi ambayo ni kubwa sana Na...
  19. menny terry

    Exploring the richest neighborhoods in Dar es Salaam

    Wakuu, Kwa waliotembea nchi za nje watakubaliana na Mimi kuwa maeneo ya upper class ya nchi zilizoendelea hayana maukuta marefu yapo wazi kabisa Na hii huleta view nzuri sana! Kwa hapa Kwetu Tanzania na Africa kwa ujumla hali ni tofauti kabisa! Utakuta maeneo ya upper class kama Masaki na...
  20. menny terry

    Exploring mikocheni neighborhood in Dar es salaam.

    Wakuu, Eneo la mikocheni Kwa sasa halikamati kabisa! Infact mikocheni Kwa sasa inajitegemea karibu kila kitu kuanzia mahospital makubwa, shopping mall kama palm village, apartments, viwanda plus media karibu zote ziko mikocheni. Kipande hiki kidogo kwa sasa hapa Dar es Salaam ndio kila kitu...
Back
Top Bottom