Maisha ya Marekani - Ukimya, Upweke, Magari n.k

Maisha ya Marekani - Ukimya, Upweke, Magari n.k

menny terry

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
509
Reaction score
672
Wakuu,

Leo nataka nigusie kwa kifupi maisha kwenye Taifa hili kubwa zaidi duniani. Nitagusia kwa hapa jijini Los Angeles, jiji hili lipo kwenye jimbo la Califonia, Jimbo tajiri zaidi hapa Marekani, Nimekuwa niki yatazama kwa karibu sana na kugundua yafuatayo.

1. Kwanza ni Maisha yaliyojaa ukimya na Upweke sana. Kama umetoka Africa ukiwa umezoea maisha ya kujichanganya huku sahau.

2. Pili kuhusu Vyakula huku sio ishu kabisa, infact kama huna makuu unaweza kujiandikisha zako kwa watu wa Food bank ukawa unaletewa misosi ya bure daily!!

3. Kumiliki Gari huku sio Option nilazima! Vitu vingi huku viko mbali na usafiri wa uma sio reliable kabisa. Hivyo unakuta kila mtu ana gari. Yaani ni heri ukose vyote ila sio gari.

4. Nyumba huku hazishikiki, bei ya chini sana ni dola laki tatu. Kupangisha nako bei iko juu balaa yaani unakuta chumba, sebule na jiko ni dola elfu tano kwa mwezi. Nadhani pia ninkwa vile mishahara kwenye hili jimbi iko juu sana.
 
Hamia Kentucky, Alabama na Georgia ndani ndani huko nyumba bei rahisi sana (japo ma hillbilly na white supremacists wanaweza kuondoka na kichwa chako). Muziki wa LA na San Francisco kimaisha si wa kitoto hasa kama haupo kwenye IT, medicine, banking au Engineering...

Na usizembee masomo yako hapo UCLA, Santa Monica College, USC....

Na ukipita mitaa ya Hollywood, Westwood, Bel-Air, Malibu na San Fernando Valley makao makuu ya porn wasalimie huko! [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hamia Kentucky, Alabama na Georgia ndani ndani huko nyumba bei rahisi sana (japo ma hillbilly na white supremacists wanaweza kuondoka na kichwa chako). Muziki wa LA na San Francisco kimaisha si wa kitoto kama haupo kwenye IT, medicine au Engineering...

Na usizembee masomo yako hapo UCLA, Santa Monica College, USC.....[emoji16][emojulifata nini huko
 
Hamia Kentucky, Alabama na Georgia ndani ndani huko nyumba bei rahisi sana (japo ma hillbilly na white supremacists wanaweza kuondoka na kichwa chako). Muziki wa LA na San Francisco kimaisha si wa kitoto hasa kama haupo kwenye IT, medicine, banking au Engineering...

Na usizembee masomo yako hapo UCLA, Santa Monica College, USC....

Na ukipita mitaa ya Hollywood, Bel-Air, Malibu na Fernando Valley makao makuu ya porn wasalimie huko! [emoji16][emoji16][emoji16]
Hillybilly na white supremacists ni watu gani hao
 
Hamia Kentucky, Alabama na Georgia ndani ndani huko nyumba bei rahisi sana (japo ma hillbilly na white supremacists wanaweza kuondoka na kichwa chako). Muziki wa LA na San Francisco kimaisha si wa kitoto hasa kama haupo kwenye IT, medicine, banking au Engineering...

Na usizembee masomo yako hapo UCLA, Santa Monica College, USC....

Na ukipita mitaa ya Hollywood, Bel-Air, Malibu na Fernando Valley makao makuu ya porn wasalimie huko! [emoji16][emoji16][emoji16]

Kaka umenichekesha sana loh!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hamia Kentucky, Alabama na Georgia ndani ndani huko nyumba bei rahisi sana (japo ma hillbilly na white supremacists wanaweza kuondoka na kichwa chako). Muziki wa LA na San Francisco kimaisha si wa kitoto hasa kama haupo kwenye IT, medicine, banking au Engineering...

Na usizembee masomo yako hapo UCLA, Santa Monica College, USC....

Na ukipita mitaa ya Hollywood, Bel-Air, Malibu na Fernando Valley makao makuu ya porn wasalimie huko! [emoji16][emoji16][emoji16]

Shida ya Alabama kule kumejaa ma black America wengi sana. Na kwa hapa Marekani sehemu yoyote yenye ma black America ni tabu tupu! Yaani Crime ni kubwa sana, vurugu, drugs yaani ni hatari sana.
 
Ajabu, nchi za Europe say Sweden huna haja ya kumiliki gari maana usafiri wa umma uko reliable by 1,000,000% reliable!

Yes ni kweli! Nchi za Europe wamejitahidi sana kwenye usafiri wa umma! Lakini pia ukumbuke hivyo ni vi nchi vidogo sana. Yaani unakuta ka nchi kama Sweden ni sawa na wilaya moja hapa Marekani. Yaani Sweden haikuti hata kirobo jiji kama Los Angeles. Lakini pia magari ni sehemu ya utamaduni hapa Marekani. Kila mtu anataka kumiliki gari. So unakuta mipango ya kuwa na usafiri wa umma inakuwa haina umuhimu.
 
Baada ya MAKOLOKOLO FC kumleta Mdhungu Bongo huwa najiuliza sana maswali kuwa Wabongo tunapapendea nini haswa mamtoni ilihali wa huko Mamtoni huja huku Bongo [emoji848][emoji6]

Au MAKOLO tumepigwa nini na kitu kizito kama YANGA alivyopigwaga na JAJA Mdhungu toka Brazil kumbe ni Bahanuzi aliyechangamka [emoji848][emoji1]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya MAKOLOKOLO FC kumleta Mdhungu Bongo huwa najiuliza sana maswali kuwa Wabongo tunapapendea nini haswa mamtoni ilihali wa huko Mamtoni huja huku Bongo [emoji848][emoji6]

Au MAKOLO tumepigwa nini na kitu kizito kama YANGA alivyopogwaga na JAJA Mdhungu toka Brazil kumbe ni Bahanuzi aliyechangamka [emoji848][emoji1]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Siyo kupapenda. Ukosefu huu wa ajira ukipata nafasi ya kwenda huko kama umesoma na una ujuzi nenda usiogope. Kama umesoma computer science, nursing, pharmacology, medicine...nenda ukapige kazi kwa miaka 15+. Kama una nidhamu ya pesa utarudi Bongo uko vizuri sana!
 
Shida ya Alabama kule kumejaa ma black America wengi sana. Na kwa hapa marekani sehemu yoyote yenye ma black America ni tabu tupu! Yaani Crime ni kubwa sana, vurugu, drugs yaani ni hatari sana.
Inamaana ni kweli kabisa Wazungu kutubagua kwa kutuita nyani kwa tabia chafu kama hizo au shida ni nini haswa?

Nina Binamu yangu mmoja yuko huko zaidi ya miaka 20 ni Profesa, anadai Black "Americans ni wabaguzi sana wa rangi nyeusi zilizotoka nnje ya bara hilo kuliko Wazungu wenyewe, wakijiona ni Aliens wa ngozi nyeusi yeyote duniani" Je atakuwa sahihi kwa madai hayo?

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Siyo kupapenda. Ukosefu huu wa ajira ukipata nafasi ya kwenda huko kama umesoma na una ujuzi nenda usiogope. Kama umesoma computer science, nursing, pharmacology, medicine...nenda ukapige kazi kwa miaka 15+. Kama una nidhamu ya pesa utarudi Bongo uko vizuri sana!
Hapo nimekupata mubashara Kaka [emoji120]

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Yes ni kweli! Nchi za Europe wamejitahidi sana kwenye usafiri wa umma! Lakini pia ukumbuke hivyo ni vi nchi vidogo sana. Yaani unakuta ka nchi kama sweden ni sawa na wilaya moja hapa marekani. Yaani Sweden haikuti hata kirobo jiji kama Los Angeles. Lakini pia magari ni sehemu ya utamaduni hapa marekani. Kila mtu anataka kumiliki gari. So unakuta mipango ya kuwa na usafiri wa umma inakuwa haina umuhimu.
Nimekupata....yaani kwao kumiliki gari ni kama huku kila mtu anatamani kuwa na nyumba kuliko kupangisha. nadhani huko watu to own house a is not a priority! Am I right on this?
 
Upatikanaji wa Wanawake ukoje maana sisi ndio ugonjwa wetu hata tusipokula[emoji23][emoji23]

Ha ha ha ha!!! Loh! Wanawake huku ni wa kumwaga mzee! Ukumbuke hapa Los Angeles kuna watu kutoka kila kona duniani. Asilimia 40 ya wakazi wa los angeles ni wahamiaji kutoka sehemu mbali mbali duniani hivyo kuna wanawake wa kila rangi hapa. Muhimu tu ni nidhamu maana wanawake wapo tu mzee
 
Nimekupata....yaani kwao kumiliki gari ni kama huku kila mtu anatamani kuwa na nyumba kuliko kupangisha. nadhani huko watu to own house a is not a priority! Am I right on this?

Yes! Ukiangalia hiyo clip yangu hapo juu utaona hakuna nyumba ambayo haina gari. Yaani ni kawaida kukuta homeless ana boonge ya gari lakini hana pa kulala.
 
Back
Top Bottom