menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 667
Wakuu, wakati miji kama Arusha inakuwa kwa kasi ya ajabu mji wa Moshi mambo ni tofauti kabisa, Moshi inazidi kurudi nyuma. Nini kimeukumba mji wa Moshi, mbona hakuna maendeleo yoyote ya maana?
Miaka ile ya uhuru Moshi ndo ilikuwa kitovu cha biashara, kwasasa Moshi inatia huruma! Viwanda vyote vimekufa, katikati ya mji ni kichekesho kwani zile nyumba kukuu za tangu uhuru bado zipo. Kitu pekee cha kujivunia Moshi ni usafi wa hali ya juu, zaidi ya hapo Moshi imeporomoka sana.