Mbezi Beach Area: Dar es Salaam’s wealthiest neighborhood

menny terry

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
501
601
Wakuu,

Mbezi beach Kwa sasa ni eneo linalo kuja kwa kasi sana hapa mjini! Vijiwe vya kula bata kama Juliana, the oasis. Mahotel ya nyota tano kama Ramada na white sand, viwanda vya kutosha , media mbali mbali kama E fm na Clouds plus, Kumbi za kisasa za harusi plus majumba ya kifahari ya wanasiasa Na wachungaji yote yamejaa kipande hiki cha ardhi Na kulifanya eneo hili kuwa ghali sana hapa Dar es salaam. Wakati umefika sasa kwa maeneo machache ya mitaa ambayo hayana lami yawekwe lami ili kulipa eneo hili hadhi linayo stahili.

Nawasilisha.


 

Kagi Boy

Member
Sep 13, 2014
76
140
Mbona toka zaman ata profesa jay kwny wimbo wake wa zali la mentali aliotea mtoto mzur vicky wa mbez bech upepo unapovuma
 

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
65,433
72,685
Sawa....ila bado miundo mbinu ovyooo...
Hivi unajua nyumba nyingi mbezi Beach hawana mfumo wa kupeleka
Maji taka baharini,pita usiku sasa usikie machine zinavyolia watuvwanafaulisha maji ya knyes wanamwaga nje

Ova
 

Mookiesbad98

JF-Expert Member
Feb 1, 2015
2,066
2,261
Ila pale kwa mama maria nyerere kabla ya kwenda HQ ya EFM inabidi watu maskini waondolowe ikiwezekana ijengwe hata zahanati panachafua hali ya hewa kwa vibanda umiza vingi wanapaita Rungwe.

Uswahilini Kinondoni sasa hivi mitaa mingi inapigwa lami sijui wanafeli wapi manispaa na Tarura.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

2 Reactions
Reply
Top Bottom