menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 667
Wakuu habari zenu,
Ni muda sijapita humu, leo nimeibuka na swali ambalo limekuwa likinisumbua Kwa muda sasa. Nina vi project vyangu hapo Bagamoyo na Pale Kilwa. Tangu nianze mpaka sasa napata wakati mgumu sana wa kupata vijana wachapa kazi.
Huku vijana ni wavivu mno! Mambo ya kuchimba mashimo, sijui kulima hakuna! Ukileta leo watu kesho wanakukimbia no wonder kuna umaskini wa kutupa maeneo haya ilhali kasi ya kuzaliana ni zaidi ya lile bando la 4G la Vodacom. Hali hii haina tofauti na kule Tanga, na maeneo mengi alikopita Mwarabu! Najiuliza tatizo hasa ni nini? Mwarabu aliacha nini huko au ni laana ya mwarabu?