Ujenzi wa flyover mbili hapa Mbezi Mwisho ni kazi nzuri sana

menny terry

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
509
667
Wakuu,

Ujenzi wa flyover mbili hapa Mbezi Mwisho kwenye barabara ya Morogoro kutasaidia sana kuondoa sintofahamu ya mabasi ya mikoani ambayo yote husubiria kutokea haka kabarabara kamoja kanakoenda mbezi Goba hivyo kupelekea msongamano wa magari usio Na lazima hapa mbezi mwisho.

Kwa Hilo niipongeze sana serekali kwakweli kazi ni nzuri sana. Muhimu tu Na zile service road kuanzia pale mbezi zipigwe lami ili mabasi ya mikoani yakaingilie mbele kabisa kule ili kuondoa msongamano wa magari kabisa hapa mbezi mwisho.

Nime share link hapo chini.
 
Back
Top Bottom