Umasikini wa kutisha hapa Marekani

Umasikini wa kutisha hapa Marekani

menny terry

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
509
Reaction score
672
Wakuu,

Heri ya mwaka mpya!

Ni muda sijaingia hapa Jamvini, hasa baada ya kuwa busy na mambo ya kimaisha. Leo nataka kuzungumzia umaskini wa kutupa kwenye Taifa hili kubwa kuliko Yote duniani kiuchumi yaani USA.

Nimepita mitaa ya Skid Row hapa downtown Los angeles, silicon valey kule Bay area, Hollywood, Hali ya ufukara inatisha, mitaa ya majiji kama Detroit na Atlanta pia kuna hali mbaya sana ya umaskini na idadi kubwa sana ya homeless ambao hata huko africa kuna nafuu.

Kwa mtazamo wangu ni kuwa kwanza Taifa halipaswi kuwa asilimia mia moja ni capitalism! Hii imetengeneza gap kubwa sana la wenye nacho na wasio nacho hapa marekani.

Umaskini mkubwa uko kwa wamarekani wenye asili ya Africa na wengi nilio kutana nao hawataki kazi na wana chuki kubwa sana kwa wazungu, na wageni! Japo pia wapo wazuri wasio na shida na mtu.

Biashara ya madawa ya kulevya kwa kiwango kikubwa inafanywa na Africa american wakishindana na latinos na wengi wamejaa kwenye magereza kuliko watu wengine wowote wale!

wahamiaji kutoka Africa, wamefanikiwa sana, japo pia kuna ambao wamepigika hapa kiuchumi. Lakini majority kwakweli wanapambana haswa.

Ni mwafrika mmoja tu nilikutana naye ambaye ni homeless na ni kwa vile ni drug addict ila wengi wana jiweza wakiongozwa na wanaigeria, wakenya baadhi huku wasomalia wakiwa juu kiuchumi yaani wana hadi Mall zao kubwa tu.

Kwa kiwango kikubwa waafrica walioko hapa ni wapambanaji mno na wengi wana take over uchumi wa hii nchi. Kwa upande wa African American kwakweli hali katika kila homeless utakao kutana nao mjini wanne kati ya watano ni Africa American!
 
Kwani Marekani ni capitalism kwa asilimia 100??
Wakuu,

Heri ya mwaka mpya!

Ni muda sijaingia hapa Jamvini, hasa baada ya kuwa busy na mambo ya kimaisha. Leo nataka kuzungumzia umaskini wa kutupa kwenye Taifa hili kubwa kuliko Yote duniani kiuchumi yaani USA. Nimepita mitaa ya Skid Row hapa downtown Los angeles, silicon valey kule Bay area, Hollywood, Hali ya ufukara inatisha, mitaa ya majiji kama Detroit na Atlanta pia kuna hali mbaya sana ya umaskini na idadi kubwa sana ya homeless ambao hata huko africa kuna nafuu.

wahamiaji kutoka Africa, wamefanikiwa sana, japo pia kuna ambao wamepigika hapa kiuchumi. Lakini majority kwakweli wanapambana haswa. Ni mwafrika mmoja tu nilikutana naye ambaye ni homeless na ni kwa vile ni drug addict ila wengi wana jiweza wakiongozwa na wanaigeria, wakenya baadhi huku wasomalia wakiwa juu kiuchumi yaani wana hadi Mall zao kubwa tu.

Kwa kiwango kikubwa waafrica walioko hapa ni wapambanaji mno na wengi wana take over uchumi wa hii nchi. Kwa upande wa African American kwakweli hali katika kila homeless utakao kutana nao mjini wanne kati ya watano ni africa american!
 
Homeless wengi hawataki kufanya kazi na wengi ni drug addict sasa kwa Amerika mfumo wa capitalism usipofanya kazi huwezi kuwa na kitu chochote lazima ufanye kazi.

Maana kupata vitu kama nyumba,gari lazima wacheki credit yako.sasa kama mtu hafanyi kazi lazima aishie kuwa Homeless tu.
 
Unaposema Africa Americans unamaanisha ni watu weusi au?
 
Kama Africa kuna nafuu kwa nini kila siku Waafrika wanapambana kuzamia huko?
Kwa nini balozi za Marekani zinaelemewa misururu ya maombi ya visa kutoka kwa Waafrika??
 
kuna watu ukiwaambia nchi za watu zipo vipi unaambiwa tuna roho mbaya. nyie wa kujiripua mtaishia kulala barabarani huko sio poa .
America sio nchi ya kujilipua,ukijilipua lazima uishi kimashaka mashaka na kuwa homeless maana hutapata huduma kihalali maana lazima uchunguzwe uli ingiaje Marekani.

Marekani nenda kwa njia halali upate vibali vyote na uwe na makaratasi yako na utambuliwe kama mkazi wa USA sio uzamie uishi kwa kujificha ficha.
 
Kama Africa kuna nafuu kwa nini kila siku Waafrika wanapambana kuzamia huko?
Kwa nini balozi za Marekani zinaelemewa misururu ya maombi ya visa kutoka kwa Waafrika??

Umesoma andishi langu vizuri?? Au umesoma haraka haraka? Nimesema waafrica wahamiaji kutoka Africa wengi wao wamefanikiwa sana hapa marekani. Kuna fursa nyingi za kufanya mtu kufanikiwa. Unafuu wa africa ni kuwa maskini wa africa atleast hata ana shamba huko kijijini huku maskini ni maskini haswa yaani hata pa kulala hana.
 
Wakuu,

Heri ya mwaka mpya!

Ni muda sijaingia hapa Jamvini, hasa baada ya kuwa busy na mambo ya kimaisha. Leo nataka kuzungumzia umaskini wa kutupa kwenye Taifa hili kubwa kuliko Yote duniani kiuchumi yaani USA.

Nimepita mitaa ya Skid Row hapa downtown Los angeles, silicon valey kule Bay area, Hollywood, Hali ya ufukara inatisha, mitaa ya majiji kama Detroit na Atlanta pia kuna hali mbaya sana ya umaskini na idadi kubwa sana ya homeless ambao hata huko africa kuna nafuu.

Kwa mtazamo wangu ni kuwa kwanza Taifa halipaswi kuwa asilimia mia moja ni capitalism! Hii imetengeneza gap kubwa sana la wenye nacho na wasio nacho hapa marekani.

Umaskini mkubwa uko kwa wamarekani wenye asili ya Africa na wengi nilio kutana nao hawataki kazi na wana chuki kubwa sana kwa wazungu, na wageni! Japo pia wapo wazuri wasio na shida na mtu.

Biashara ya madawa ya kulevya kwa kiwango kikubwa inafanywa na Africa american wakishindana na latinos na wengi wamejaa kwenye magereza kuliko watu wengine wowote wale!

wahamiaji kutoka Africa, wamefanikiwa sana, japo pia kuna ambao wamepigika hapa kiuchumi. Lakini majority kwakweli wanapambana haswa.

Ni mwafrika mmoja tu nilikutana naye ambaye ni homeless na ni kwa vile ni drug addict ila wengi wana jiweza wakiongozwa na wanaigeria, wakenya baadhi huku wasomalia wakiwa juu kiuchumi yaani wana hadi Mall zao kubwa tu.

Kwa kiwango kikubwa waafrica walioko hapa ni wapambanaji mno na wengi wana take over uchumi wa hii nchi. Kwa upande wa African American kwakweli hali katika kila homeless utakao kutana nao mjini wanne kati ya watano ni Africa American!
Wengi ni drugs!
 
Homeless wengi hawataki kufanya kazi na wengi ni drug addict sasa kwa Amerika mfumo wa capitalism usipofanya kazi huwezi kuwa na kitu chochote lazima ufanye kazi.

Maana kupata vitu kama nyumba,gari lazima wacheki credit yako.sasa kama mtu hafanyi kazi lazima aishie kuwa Homeless tu.
Umemjibu vizuri sana!
 
Umewahi kupita Kariakoo saa kumi na moja asubuhi??
Hawa ombaomba watu wazima na watoto wanaozagaa katikakati ya majiji barabarani wakati wa mchana huwa wanaenda kulala wapi usiku?
Umesoma andishi langu vizuri?? Au umesoma haraka haraka? Nimesema waafrica wahamiaji kutoka Africa wengi wao wamefanikiwa sana hapa marekani. Kuna fursa nyingi za kufanya mtu kufanikiwa. Unafuu wa africa ni kuwa maskini wa africa atleast hata ana shamba huko kijijini huku maskini ni maskini haswa yaani hata pa kulala hana.
 
Wamerekani weus hiyo mentality yao haijaachana kabisa na wenyeji wa Africa Kusini( Dzonga), ulevi, starehe na chuki kwa wageni inawafanya wajikute si wachapa kazi....BIG UP kwa wasomali hawa jamaa kwenye Taifa lolote utakalowakuta lazima wawe wametake over ishu ya Biashara na wakifuatiwa na wapopo. Wabongo weng kwenye mataifa ya wengne hawana umoja wa hivoo disorganised.
 
Unaposema Africa Americans unamaanisha ni watu weusi au?

Iko hivi hapo nimejaribu kuweka tofauti kwa maana ya kuwa kuna africa american wazawa yaani walio zaliwa hapa US ambao walikuja kama watumwa! Wana majina kama Nigro, Niga na mengineyo alafu kuna waafrica wahamiaji yaani wale ambao hawakuja kama watumwa! Sasa hawa Negro wana wabagua wale waafrica ambao ni wahamiaji ila hawakuja enzi za utumwa! Sijui kama umenielewa hapo
 
Back
Top Bottom