Exploring mikocheni neighborhood in Dar es salaam.

menny terry

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
509
667
Wakuu,

Eneo la mikocheni Kwa sasa halikamati kabisa! Infact mikocheni Kwa sasa inajitegemea karibu kila kitu kuanzia mahospital makubwa, shopping mall kama palm village, apartments, viwanda plus media karibu zote ziko mikocheni.
Kipande hiki kidogo kwa sasa hapa Dar es Salaam ndio kila kitu.

Nawasilisha.


 
Tatizo tu ni kuwa mambo muhimu Kama haya Watanzania hawayazingatii na kujifunza kuijua miji yao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom