menny terry
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 509
- 667
Wakuu,
Kama Vlogger ambaye huwa natembelea na ku share mambo mbalimbali ninayo yaona kwanza nipongeze mamlaka husika Kwa usimamizi mzuri wa soko kuu la samaki kivukoni, ila nimeshangazwa sana nilipotembelea soko kuu la samaki kivukoni na kugundua asilimia kubwa ya samaki wanaagizwa nje ya nchi yaani China, Vietnam Na kwingineko. Ni kweli bado hatuwezi kuwa Na Uwezo wa kujilisha wenyewe samaki?
Nawasilisha.