Search results

  1. Wong Fei

    Makato bila tozo ya Airtel ni uhuni

    Tarehe 04/07/2022 saa 13:04 nilipokea hela kutoka kwa wakala Said Salim Mwisongo. Salio lilosoma 12,009.33 Nikaenda kutoa hela kwa wakala 12000 si bila makato nikaambiwa Salio halitoshi. Ikabidi nitoe mpaka 11 nikaambiwa salio halitoshi. Ikabidi nitoe shiling 10,500.00 ndiyo ikatoka ikakatawa...
  2. Wong Fei

    Samsung TV vs LG TV ipi ni bora?

    Habari za saa hizi wanajf! Nahitaji kununua TV ila sijajua kati ya hizo kampuni mbili ipi ni nzuri kwenye ubora wa picha na kudumu. Nasikia Samsung TV ipo ya kichina, UK, Korea na South Afrika. Kuna ukweli kwenye hili? Maoni yenu wanajf tafadhali.
  3. Wong Fei

    Hatuko Salama: Vodacom kuiingilia Privacy za wateja

    Inasikitisha na ina hatia hasira sana. Kinachoondelea Vodacom wanasoma meseji na kusikiliza maongezi ya wateja wao ambapo ni kinyume na sheria. Vifurushi ninunue mm tena mniuzie kwa bei ghari na mnipangie cha kutuma. Kwann? Kila siku mnapandisha vifurushi na bado mnaingilia privacy za wateja...
  4. Wong Fei

    Tanzania taxman now to charge tax on Gospel songs, films

    Speaking on Thursday in the city at a meeting between Urban musicians with Information Minister Dr Harrison Mwakyembe, the TRA’s senior revenue officer Sydney Mkamba said the gospel songs segment was now a big business in the country and as such those benefitting from it must pay tax Dar es...
  5. Wong Fei

    Tigo wananikata hela kwenye huduma nisiyoitaka

    Tangia walipopigwa faini kwa uzembe wao sasa wameamua kuwaibia wananchi kwa nguvu. Jana niliweka vocha ya 1,000. Nikajiunga na kifurushi cha 500 cha University. Ukibonyeza *148*00# Wakawa wamenipatia 1.Sh500=Dk30+SMS200+MB200 (Saa24) Baadae naangalia salio limebaki 350, nacheki baadae imebaki...
  6. Wong Fei

    Tajiri wa Mererani ahukumiwa vifungo viwili vya maisha kwa ubakaji, ulawiti

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa Kilimanjaro, imemhukumu vifungo vya maisha jela, mfanyabiashara mashuhuri wa madini wa Mererani, Benedict Kimario (43), kwa makosa mawili ya ubakaji na ulawiti. Mahakama hiyo ilimhukumu mfanyabiashara huyo vifungo vya maisha mara mbili kwa makosa hayo mawili...
  7. Wong Fei

    Rais Magufuli: Naujua umaskini, nimeuza maziwa na furu

    Chato. Rais Magufuli alisema kwamba amechunga ng’ombe na hataki asahau alipotoka na wala hapendi kuona Watanzania wanaoishi maisha ya chini wakionewa Rais John Magufuli, amesema ataendelea kuwatetea Watanzania maskini na wenye kipato cha chini kwa sababu hata yeye ameishi maisha duni. Magufuli...
  8. Wong Fei

    Mapendekezo: Liwepo jukwaa la hadithi na story

    Mods hongereni kwa kazi kubwa mnayoifanya humu JF. Napendekeza liwepo jukwaa au kipengele cha hadithi na story kama zile za kikosi cha kisasi, Njama, Ntakupata tu, na zingine. Mimi ni mpenzi mzuri sana wa hadithi na story mbali mbali ila napata shida sana humu kuzisoma hizo hadithi katika jukwaa...
  9. Wong Fei

    Wanafunzi wenye mimba

    Nchi nyingi duniani inautaratibu wake katika masuala ya elimu, ndiyo maana kuna sheria mbali mbali zimetungwa ili kuwafanya wanafunzi kuwa na nidhamu. Siwezi kumshangaa Bwana yule kwa sabb huu utaratibu ulikuwepo kipindi cha nyuma kabla ya kubadilishwa na kumruhusu mwanafunzi kuendelea na...
  10. Wong Fei

    MAKONDA: Tupe List ya majina ya watu waliokamatwa na madawa ya kulevya na hukumu zao

    Hili zoezi la “TOKOMEZA MADAWA YA KULEVYA” nililipenda sana inaonesha ni kwa jinsi gani kiongozi wetu wa mkoa anavyowajali watanzania. Hongera sana Mh. Makonda, na pongezi nyingi ziende kwako. Zoezi lako la TOKOMEZA MADAWA YA KULEVYA umelifanya kwa njia isiyo nzuri kabisa japo nia yako ilikuwa...
  11. Wong Fei

    Tumbua tumbua ni maigizo ya awamu ya tano

    Utumbuaji maana yake ni nini? KAMA MTU ANASIMAMISHA AJIRA NA KUWANYIMA WANAOSTAHILI MIKOPO NAYE AFANYWE NINI? HUO MWEZI MMOJA NA NUSU HAITAZIDI MIWILI BADO HAIJATIMIA? NI JIPU AU SI JIPU? NA KAMA NI JIPU MBONA HALIJATUMBULIWA? AU HUU UTUMBUAJI UNAHUSISHA WATU WALIOKO NGAZI ZA CHINI TU? Mtu...
  12. Wong Fei

    Angela Kairuki; Jiuzulu kwa manufaa ya watanzania

    Mama hongera na pole kwa majukumu ya kila siku ya kujenga taifa. Zoezi lako la uhakiki ni zuri na lina manufaa ya kulijenga Taifa kwa ujumla na kuimairisha hali ya uaminifu kwa watanzania (hakuna kufoji vyeti. Jasho lako ndiyo ukombozi wako). Pindi zoezi lako la uhakiki limeanza...
  13. Wong Fei

    Makato ya HELSB 15% kwa wafanyakazi ni dalili ya uongozi mbaya Tanzania

    Kila kukicha hali inazidi kuwa mbaya kwa wafanyakazi hata ile morali ya kufanya kazi na uzalendo unapotea. Serikali yenye uongozi mzuri huwajali wananchi wake na hata inapoidhinisha makato kama haya 15% lazima ihusishe vyama vya wafanyakazi na wafanyakazi wenyewe na pia lazima ipandishe...
  14. Wong Fei

    Ndalichako: Siku ukiacha siasa kwenye elimu, elimu yetu itasonga mbele na itakuwa elimu bora

    Mheshimiwa suala la elimu ni suala nyeti sana katika taifa lolote lenye watu wenye akili timamu na unapoingiza mambo ya siasa kwenye elimu ni kuiua elimu na mwisho wa siku tunazalisha taifa la vi.la.za Kufanya vibaya kwa shule za serikali ni matokeo yenu ya kuingiza siasa kwenye elimu. Mkumbuke...
  15. Wong Fei

    Rais Magufuli Kafanya nini kumkomboa Mtanzania wa hali ya chini?

    Mwaka 1 na miezi ya JK aliweza kutoa ajira kwa watoto maskini, alitoa mikopo kwa watoto wa masikini wengi na hakubagua hata waliosoma private schools nao walipata nikiwemo mimi lakini ingekuwa leo ingekula kwangu chuo ningesikia kwenye radio na tv, wengine walipata mpaka 100% mikopo (Mpaka mtoto...
Back
Top Bottom