Ndalichako: Siku ukiacha siasa kwenye elimu, elimu yetu itasonga mbele na itakuwa elimu bora

Wong Fei

JF-Expert Member
Apr 13, 2016
4,819
6,464
Mheshimiwa suala la elimu ni suala nyeti sana katika taifa lolote lenye watu wenye akili timamu na unapoingiza mambo ya siasa kwenye elimu ni kuiua elimu na mwisho wa siku tunazalisha taifa la vi.la.za

Kufanya vibaya kwa shule za serikali ni matokeo yenu ya kuingiza siasa kwenye elimu. Mkumbuke kuwa walimu nao ni watu kama nyie lakini mewafanya watu duni na hawana lolote kwa taifa hili na umeshasahau nafasi uliyopo ni kwa sababu ya walimu. UNAWALAZIMISHA WALIMU WAKESHE KWENYE MWENGE? WAHESHIMU WALIMU HATA KAMA HUWAPENDI

Walimu mnawalipa mishahara midogo, bado kuna madeni wanayowadai, posho hawana, HELSB 15% na wanaishi mazingira magumu, hakuna vitendea kazi, madarasa mabovu, shule hazina walimu (Kuna shule Mtwara inafundishwa na mwalimu mmoja), hakuna makitaba na maabara, Hakuna umeme, komputa, printer, na photocopier. Mwalimu akitaka kutunga mtihani anaandika ubaoni au anapeleka mtihani wake stationery ili wakauchapishe. Pamoja na mambo haya yote lakini mefumba macho na kushapaza shingo kana kwamba hayaathiri uzalishaji wa elimu bora.

Viongozi wengi wameshawahi kuwa walimu na hata leo hii ukiwauliza changamoto zinazowakabili walimu watakutajia A-Z lakini hao hao ndiyo kwanza wameshupaza shingo zao na kuanza kuwaandama walimu

Nilishangaa na kusikitika sana kusikia walimu wanachapwa viboko, kupigishwa deki na kuchongewa vinyango halafu hao hao mnategemea wawafundishie watoto ni kitu ambacho hakiwezekani Cha kushangaza umekaa kimya kama idara hii ya elimu haikuhusu. MFANO MZURI JARIBU KUMNYANYASA MFANYAKAZI WAKO WA NDANI (HOUSEGIRL AU HOUSEBOY), NDIYO UTAJUA UMUHIMU WA KUWAHESHIMU WAFANYAKAZI

Mheshimiwa msiingize siasa kwenye elimu yetu sababu tunaoteseka ni sisi watanzania wa hali ya chini. Wewe watoto wako hawasomi katika shule hizi ndiyo maana siasa imekuwa nyingi sana kwenye elimu yetu.

MASWALI FIKIRISHI:

1. MTOTO WA KIONGOZI GANI ANAYESOMA SHULE ZA KATA?

2. FISHING INDUSTRY IN NORWAY INATUSAIDIA NINI SISI WATANZANIA?

*Muache siasa kwenye elimu yetu. Hampendi na sisi watoto wetu wawe kwenye nafasi kama zenu?
 
  • Thanks
Reactions: lnx

Huyu mama czani km anafanya siasa bt anakomoa watoto wa wakulima na watu wa kati ambao watoto wao ndiyo walaji wa ward school, wakwake na watu wa hadhi yake wako abroad.
Kuna cku nilimskia anasema atawanyofoa hata walioko makazini kisa waligraduate bila sifa na sasa kaanza na hawa wanaoendelea na coz zao vyuoni, wewe ni mama cku zote tunajuwa mna huruma cjui yeye aliupeleka wapi hata mshipa wa huruma km mama!
Hata km ni ubora c kwa namna hii unaumiza walio wengi (middle income earners) hapa mkuu wa nchi angalia hili suala ulisema unatetea wanyonge kwa style hii unawakwamisha wengi, huyu mama ndiyo maana JK alimnyofoaicje kuwa ana-revange!
 
Back
Top Bottom