Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 4,819
- 6,463
Utumbuaji maana yake ni nini? KAMA MTU ANASIMAMISHA AJIRA NA KUWANYIMA WANAOSTAHILI MIKOPO NAYE AFANYWE NINI? HUO MWEZI MMOJA NA NUSU HAITAZIDI MIWILI BADO HAIJATIMIA? NI JIPU AU SI JIPU? NA KAMA NI JIPU MBONA HALIJATUMBULIWA? AU HUU UTUMBUAJI UNAHUSISHA WATU WALIOKO NGAZI ZA CHINI TU?
Mtu anayechezea maisha ya watanzania ni jipu na anapaswa atumbuliwe mara moja lakini nashangaa waliobeba hii dhamana ndiyo wanageuka kuwa majipu. Yule mama anakomaa na uhakiki mpaka wa leo na haijulikani atamaliza lini huku kasahau kuna kundi la vijana liko mtaani na halijuwi hatima yao lakini yeye hajali hilo na bado hajatumbuliwa. HAYA NDIYO MAIGIZO AMBAYO SIPENDI KUYAONA KATIKA NCHI YANGU. NA KWA HALI HII MSAHAU SUALA LA UZALENDO. Mlituambia haitakuwa serikali ya michakato lakini ndiyo imekuwa ya michakato na inachezea maisha ya watanzania.
IMENIFANYA NIAMINI KUWA SHERIA IMETUNGWA KUMKANDAMIZA MTU WA CHINI NA ASIYEJIWEZA. UHAKIKI WA WAFANYAKAZI HEWA NA VYETI FEKI NI KWAAJIRI YA WAFANYAKAZI WA CHINI KAMA WALIMU. MBONA HUKO JUU SIJASIKIA WAKIHAKIKIWA? TUSEME WAO NI WASAFI?
Mnapoanzisha jambo muwe siriasi na liwe kwenye haki bila kubagua matabaka sababu hakuna mwenye hati miliki hii ya nchi na wala hakuna mtu aliyejuu ya sheria. Na kama jambo litafanywa kwa tabaka fulani basi liachwe mara moja sababu ni unyanyasaji na ukiukwaji wa sheria.
SWALI FIKIRISHI
Yule mama mkuu wa mkoa wa shinyanga alitumbuliwa au alisimamishwa kazi? sasa hivi kateuliwa yupo bungeni
{Kila kitu mnafanya kisiasa, hata jambo likiwa dogo mnaingiza siasa. Maisha ya watu meweka siasa mpaka mesababisha watanzania wengi wawe wanasiasa kwa ajili yenu).