Samsung TV vs LG TV ipi ni bora?

Wong Fei

JF-Expert Member
Apr 13, 2016
4,817
6,442
Habari za saa hizi wanajf!

Nahitaji kununua TV ila sijajua kati ya hizo kampuni mbili ipi ni nzuri kwenye ubora wa picha na kudumu.

Nasikia Samsung TV ipo ya kichina, UK, Korea na South Afrika. Kuna ukweli kwenye hili?

Maoni yenu wanajf tafadhali.
 
yah chukua samsung ya uk iko hd kupta maelezo ila lg wachina wametoa copy vibaya sana tena ukienda dukani wengi wanaplay video za kwenye flash za 4k so utaona bonge la quality.

ila ukitaka kuwapatia waambie waiconnect tv na kingamuzi hapo ndo utaona uhalisia wa tv
 
Zote ni South Korean companies
Samsung walikuwa na QLED wakati LG wana OLED
Sasa mambo yakawa tofauti LG wakafyatua QLED na huku Samsung wakitengeneza OLED

Ila hata mimi nilichanganyikiwa nilipoenda Curry duka kubwa la kuuza electronics
Nilizunguka sana huku nikiziona za 4k mpaka zingine za 8k wingi wa pixels ndio ubora zaidi mmh

Nilkaa pale kama saa nzima na kuuliza mengi na mwisho nikakaa kabisa kuangalia screen kubwa kubwa huku nikizichambua ubora na picha

Kwa kweli mwisho niliondoka na LG OLED 55” k4 ila ni kwa mimi niliipenda LG
Ingawa nilikuwa mpenzi wa Samsung

Bei ziko juu ila ni bomba sana
Kama unaweza kuchukua kitu kizuri beba LG
 
Ulichukua mwaka gani? Mpk sasa unayo na haijwahi kukusumbua?

Hd resolution ya kizamani sana, hata mchina wa laki 2 ni HD.

Siku hizi watu wapo 4k na 8k, ukikosa ni hio FHD.
 
Zote ni South Korean companies
Samsung walikuwa na QLED wakati LG wana OLED
Sasa mambo yakawa tofauti LG wakafyatua QLED na huku Samsung wakitengeneza OLED

Ila hata mimi nilichanganyikiwa nilipoenda Curry duka kubwa la kuuza electronics
Nilizunguka sana huku nikiziona za 4k mpaka zingine za 8k wingi wa pixels ndio ubora zaidi mmh

Nilkaa pale kama saa nzima na kuuliza mengi na mwisho nikakaa kabisa kuangalia screen kubwa kubwa huku nikizichambua ubora na picha

Kwa kweli mwisho niliondoka na LG OLED 55” k4 ila ni kwa mimi niliipenda LG
Ingawa nilikuwa mpenzi wa Samsung

Bei ziko juu ila ni bomba sana
Kama unaweza kuchukua kitu kizuri beba LG
Naunga mkono nilinunua tangu 2017 hadi leo mambo super aisee now nawaza kuuza ninunue kitu smart kwa sababu nimeona ukiwa na smart TV ni mfano wa kuwa na dunia kiganjani aisee

Na connect internet then movie nazitafutia youtube na si kwenye flash/Pen drive

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Netflix, Amazon Prime, Alexa, Twitter na apps zote
Yaani smart ni akili kubwa
 
yah chukua samsung ya uk iko hd kupta maelezo ila lg wachina wametoa copy vibaya sana tena ukienda dukani wengi wanaplay video za kwenye flash za 4k so utaona bonge la quality.

ila ukitaka kuwapatia waambie waiconnect tv na kingamuzi hapo ndo utaona uhalisia wa tv
huu mtihani wako hata samsung 4k ya 4mln itafeli.

kumbuka tv hizi zinatoa kinachoingia,ila kwa ubora tofauti.ila haiwezi rekebisha kitu kibovu kikawa bora.
 
Hapo ni Costco
LG 77”
Samsung 75”
Bei zake hazipishani sana ila quality zote kiboko
IMG_6935.jpg

IMG_6934.jpg

Ila Bei zao hawa USA ni ziada sana yaani unapigwa
 
Habari za saa hizi wanajf!

Nahitaji kununua TV ila sijajua kati ya hizo kampuni mbili ipi ni nzuri kwenye ubora wa picha na kudumu.

Nasikia Samsung TV ipo ya kichina, UK, Korea na South Afrika. Kuna ukweli kwenye hili?

Maoni yenu wanajf tafadhali.
Chukua LG, mimi nilinunua brand new LG 47' mwaka 2011 ipo hadi leo inapiga kazi vizuri tu, quality ya maana, sema Remote yake watoto walivunja so now ni manual maana nilikosa remote ya dizaini yake.

So beba kitu cha Life's Good.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom