Search results

  1. bbc

    Jina la Mchepuko

    Kwenye simu yako ya mkononi, mchepuko wako wa kike/kiume umeuandika jina gani ili mmeo/mkeo asiutambue? Mimi nimeupa jina BOSS WANGU, tena akipiga simu nikiwa na mke wangu, wakati wa kupokea natangulia kusema huyu boss wangu msumbufu, halafu naenda pembeni!
  2. bbc

    Mme ama mke

    Hivi wanaJF, mme ama mke ni ndugu, rafiki au ni nani? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. bbc

    Ushauri

    Kati ya Samsung s7 edge na Infinix note 5 ipi nzuri zaidi kwa matumizi ya kawaida ya simu? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. bbc

    Umbea

    Kwa kwelii huu ni umbea 100%, huyu Prof. Juma Kapuya aliyefunga ndoa (habari iko Muungwana blog) ndiye yule aliyekuwa waziri enzi zileee? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. bbc

    Msaada: Natafuta fundi wa kutengeneza mashine ya kufulia

    Mtaalam wa kutengeneza mashine ya kufulia nguo aina ya LG tafadhali, mashine imekorofisha Sent using Jamii Forums mobile app
  6. bbc

    Msaada kuongeza muito

    Najua JF ina wataalam wengi, ningependa kuongeza muito (message alert) kwa upande wa MESEJI kwenye simu ya Samsung, hivi inawezekana? Msaada tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. bbc

    ULIMI KUCHUBUKA

    Ulimi kuchubuka chubuka na wakati mwingine kuuma unapokula baadhi ya vyakula kwa mfano dagaa, sababu yake na dawa yake ni nini?
  8. bbc

    Wanajamiiforums mko wapi?

    Ni vizuri pale unapokosa kuona "uzi" wa mwana/wana JF katoka "ukumbi" huu tuliouzoea, tuulizane mko wapi? Mpo lakini mmetingwa na shughuli au mmetoka kabisa kwenye ukumbi JF? Mfano mzizimkavu, mwifwa, emmyta na wengine wengi mpo?
  9. bbc

    Utalii wa ndani

    Nilienda mkoa wa Songwe (mojawapo ya mikoa ya nyanda za juu kusini) nikaamua kwendaona KIMONDO. Wenyewe wasema kina uzito wa "16 metric tons" Sent using Jamii Forums mobile app
  10. bbc

    Hivi hapa kwetu Tanzania kuna Air conditioner (AC) zenye kutoa upepo wa moto badala ya baridi?

    WanaJF, Hivi hapa kwetu Tanzania kuna Air conditioner (AC) zenye kutoa upepo wa moto badala ya baridi! Huku niliko baridi imeanza kupiga! Msaada tafadhali
  11. bbc

    Kuibiwa "tunda"

    Kwa wale wanaJF walioko kwenye ndoa, ushawahi kujiuliza ni kitu gani hasa kinakufanya ukasirike mpaka kutaka kuua ukisikia mkeo/mmeo anachepuka kwenye ndoa yenu, ukijua kabisa kwamba utam wa "tunda" unabaki uleule, saizi inabaki ileile nk. Je ni hofu ya magonjwa au ni nini hasa? (Watoto...
  12. bbc

    Salaam to Dodoma

    Uwapo Dodoma na kwenye vikao vya Mjengoni
  13. bbc

    Usalama katika ndege: Anayekaa karibu na mlango wa dharura anatakiwa kujua kiingereza

    Hicho kichwa cha habari nimekikuta kwenye kadi ya usalama iliyoko kwenye ndege zetu pendwa za Bombadier. Kilichonishangaza ni haya maneno "....anaekaa karibu na mlango wa dharura anatakiwa ... ajue kuongea Kiingereza..." Hivi lugha ya Kiingereza ina uhusiano gani na uokoaji tukichukulia kwamba...
  14. bbc

    Kwanini ndege haiwezi kurudi nyuma mpaka isukumwe?

    WanaJF, Mara zote nimeona ndege ikitaka kurudi nyuma mpaka isukumwe, haiwezi kurudi kinyumenyume, hivi kwanini ilitengenezwa hivyo kwamba isiweze kurudi kama yafanyavyo magari?
  15. bbc

    Mke kuitwa mama

    Uko na mkeo sehemu, halafu wanakuja marafiki unawatambulisha kuwa huyo ndiye mama. Imekaaje hii!
  16. bbc

    Picha ya viongozi

    Picha ya mwaka kwa mwaka 2016
  17. bbc

    Mikono kuuma hasa wakati wa usiku

    Naomba msaada wa tiba kwa mikono kuuma hasa wakati wa usiku (nikiishalala)
  18. bbc

    Hisabati

    Hebu tupumzike kidogo na ngono, tujikumbushe kidogo hisabati
  19. bbc

    Msaada: iPad

    Ipad imekata netiweki, huduma zote zitumiazo intaneti kwa mfano JF na kusoma habari mbalimbali sipati, naomba msaada wadau nifanyeje?
  20. bbc

    Zanzibar kuna fanyika maadhimisho ya Nanenane?

    Huwa nasikia nanenane kanda ya mashariki, kati, kaskazini, kanda ya ziwa na kanda ya nyanda za juu kusini lakini zanzibar sijawahi kusikia, ikoje hii?
Back
Top Bottom