ULIMI KUCHUBUKA

bbc

JF-Expert Member
Jan 18, 2016
3,841
4,145
Ulimi kuchubuka chubuka na wakati mwingine kuuma unapokula baadhi ya vyakula kwa mfano dagaa, sababu yake na dawa yake ni nini?
 
Mkuu pole sana hali hiyo nilikuwa nayo takriban miaka miwili nikila chochote chenye mfano WA ukali wowote basi ulikuwa ukiniwasha ulimi na michubuko sikutumia dawa yoyote na hali hiyo ilinipotea mpk leo hii ni mwaka usiopungua WA 9 hivi.
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Ulimi kuchubuka chubuka na wakati mwingine kuuma unapokula baadhi ya vyakula kwa mfano dagaa, sababu yake na dawa yake ni nini?
Huli mboga za majani za kutosha ndo Sababu,Dawa Ni hiyohiyo unyoikwepa
 
Back
Top Bottom