Mke kuitwa mama

bbc

JF-Expert Member
Jan 18, 2016
3,836
4,145
Uko na mkeo sehemu, halafu wanakuja marafiki unawatambulisha kuwa huyo ndiye mama. Imekaaje hii!
 
Uko na mkeo sehemu, halafu wanakuja marafiki unawatambulisha kuwa huyo ndiye mama. Imekaaje hii!
Huyu ndiye mama= wife
Huyu ndiye mama = mzazi mwenzio aliyekuzalia watoto na sasa huoni tena sababu ya kumwita mke
Huyu ndiye mama mazazi= mama yako aliyekubeba miezi 9 tumboni, ukamnyea na sasa umekuwa mkubwa kiasi cha kumwita "huyu ndiye mama"
 
Unapo muita Mkeo mama basi neno unalitanguliza mbele.

Ila watoto wetu wa kike kuwaita mama ni sawa hii hata mimi huwa nafanya.
 
Sioni kama ni tatizo maana mkeo kachukua majukumu ya mama yako kwa sasa hivyo ni sahihi kuitwa mama, hata wewe umuite mama maana mama yko alikuogesha (mkeo nafanya hivyo hivyo) alikufulia alikufanyia kila aina ya usafi na kukupikia mkeo anayafanya yote hivyo kwann uone tabu kumuita mama?
 
Back
Top Bottom