Patience123 JF-Expert Member Mar 10, 2013 5,092 8,784 Dec 28, 2016 #2 Hii ilikuwa 2015 mbona... Wakati watangaza nia ya kuongoza nchi wakisubiri kuona ni nani "anakatwa" jina lake kwenye kamati kuu ya "kijani"
Hii ilikuwa 2015 mbona... Wakati watangaza nia ya kuongoza nchi wakisubiri kuona ni nani "anakatwa" jina lake kwenye kamati kuu ya "kijani"
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,051 Dec 28, 2016 #3 Walikuwa wengi sana kwenye foleni, kumbe JK alikuwa na majina mfukoni
APEFACE JF-Expert Member Oct 1, 2016 5,276 9,461 Dec 28, 2016 #5 Na hakuna hata mmoja kati ya hao aliyebahatika kuingia IKULU......
darcity JF-Expert Member Jul 20, 2009 9,101 18,052 Dec 28, 2016 #8 Huo ulikuwa mwanzo usitegemewa wa kufifisha maisha bora kwa kila Mtz