Msaada: iPad

Msaada: iPad

bbc

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2016
Posts
3,836
Reaction score
4,152
Ipad imekata netiweki, huduma zote zitumiazo intaneti kwa mfano JF na kusoma habari mbalimbali sipati, naomba msaada wadau nifanyeje?
 
Ipad imekata netiweki, huduma zote zitumiazo intaneti kwa mfano JF na kusoma habari mbalimbali sipati, naomba msaada wadau nifanyeje?

Ni IPad Ya aina gani?...inatumia SIM card au wifi?
Then umejaribu kuizima (restart) kwa kubonyeza home button na sleep button ?
 
Aina ya Apple, sim card ya Airtel. Nimejaribu lakini bado!
 
Check kwenye setting Kama network option ipo active
 
Back
Top Bottom