Search results

  1. Mumwi

    Meya Jiji la Arusha presha inapanda presha inashuka

    Diwani wa kata ya Olorien ambaye pia ni Meya wa Jiji la Arusha toka uchaguzi wa 2010 amesababisha Jiji la Arusha kuwa kwenye migogoro mingi, tunakumbuka Januari 5 2011 kuna watu waliuawa kwa risasi. Pia katika kata ya Olorien amekuwa akilalamikiwa kwa matumizi mabaya ya pesa kuna zahanati ya...
  2. Mumwi

    Arusha

    Kwa walioko Arusha mbona kimya hatupati maendeleo ya uzinduzi wa jiji? Hakuna hata mtu mmoja aliyeko huko?
  3. Mumwi

    Magamba hawana jipya.

    Ukijaribu kuangalia thread nyingi hapa jf ni wanamagamba kuitafutia chadema sababu tu ili ionekane imeanza kudhoofu mi nawaambia mtahangaika wee chadema inasonga mbele tuu.
  4. Mumwi

    Tetesi: Kupatikana kwa wauaji

    Wana jf leo hapa Arusha nimesikia watu wakiongelea kukamatwa kwa watu kadhaa waliohusika na mauaji ya mwenyekiti wa chadema usa river pia panga lililotumika limekutwa ndani ya choo kwa mmoja Wa watumiwa naomba mwenye taarifa kamili atujuze.
  5. Mumwi

    Kesi ya G. Lema kuisha kiajabu

    Leo katika pitapita zangu hapa A.town nimekutana na wanamagamba kadhaa wakifurahi kuwa eti mh. Lema ameshashindwa kesi kilichabaki ni hakimu kutoa hukumu ya kushindwa na kurudia uchaguzi naomba mwenye taarifa zaidi kutoa hawa wanamagamba wanaotamba uchaguzi kurudiwa mwenye taarifa zaidi...
  6. Mumwi

    Je hii ni kwa ajili uchaguzi Arumeru mashariki?

    Leo nimeona magari kibao ya FFU mengi yakiwa na askari kibao yakitokea njia ya Mbauda hapa Arusha nilipouliza kuna rafiki yangu kaniambia wanafanya zoezi kwa ajili ya Arumeru mashariki kwa walio maeneo ya Mbauda watujuze maana utafikiri hapa Arusha kuna vurugu kubwa mahali.
  7. Mumwi

    Kwa wanachadema tu

    Kwa maoni yangu wanachadema wote ni heri kutokuangalia bunge maana chadema imetukanwa sana na wabunge wa ccm A na ccm B. Kweli Mungu turehemu sijui tunakoelekea.
  8. Mumwi

    Eng. Stella Manyanya atangaza vita

    Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.
  9. Mumwi

    Mhuni na muuaji yupi afadhali.

    Tumesikia sehemu mbali mbali chadema wakiitwa wahuni au chama cha kihuni pia kumekuwa na shutuma sehemu mbalimbali hapa nchini kuwa ccm wanatesa wanachi na kuua napenda kuuliza swali mhuni na muuaji yupi ni afadhali? Nawasilisha .
  10. Mumwi

    Kaimu RPC Arusha akanusha tuhuma

    Habari toka Radio 5 Arusha kaimu RPC Arusha Mpwapwa amesema hiyo ya afande Zuberi kuita wananchi panya ni uzushi yeye hana taarifa nawasilisha.
  11. Mumwi

    Hii kali

    Katika historia ya dunia nimesikia kwa mara ya kwanza kwamba mtu alitaka kubakwa hadharani mbele ya watendaji Wa kata makatibi kata mabalozi Wa nyumba kumi, katika hili je ni kweli au DC kadanganya? Yawezekanaje kutokea kitu Kama hicho hadharani?
  12. Mumwi

    Kujivua gamba kumeisha?

    Wakuu napenda tu kuuliza hilo swala la kujivua gamba iliishia wapi? Au mlengwa alikuwa Rostam? Maana kulikuwa na mbwembwe nyingi na maneno kibao lakini sasa hivi ni kimyaaaaa imebaki tu maongezi ya watu mmoja mmoja tu.
  13. Mumwi

    Heri kuwa mtumwa ughaibuni

    Nimejaribu kusikiliza mijadala mbali mbali kweli napata huzuni na hasira kwa nini nilizaliwa TZ au ni heri ningekuwa hata niitwe mtumwa ulaya au marekani kuliko kuitwa mtumwa hapa kwenye nchi yangu. Kweli inahuzunisha sijui hata ya nchi hii ni nini?
  14. Mumwi

    Diwani Nanyaro Ephata

    Huyu Diwani ni mpiganaji ila Kama kweli walirubuniwa wakaingia kwenye mtego wa kupokea chochote toka kwa wanamagamba mpaka kumtambua meya Wa Arusha sijaelewa ni kwa nini walimgeuka mheshimiwa Lema? Sisi wapenzi Wa chadema Arusha hatukutegemea kutokea kitu Kama hicho tunaomba tu wawe wazi...
  15. Mumwi

    Heri ningezaliwa nchi nyingine

    Wanajf, ninauchungu sana kuona jinsi TZ Kikongo na manyanyaso tunayofanyiwa wanasema ni nchi ya amani lakini sio kweli ni utulivu tu. Na Wa TZ walivyombumbu ndiyo nchi inazidi kudidimia, uonevu manyanyaso ufisadi Wa waziwazi tumekaa tu na kuangalia tu. Watu Wa magamba ndiyo kabisa wanazidi...
  16. Mumwi

    Elections 2010 Waziri kivuli ni nani?

    Wajameni naomba mnisaidie katika nchi yetu nimekuwa nikisikia hiki cheo cha waziri kivuli nasema hivyo ni baada ya kusoma na kuona runinga zikisema kuwa kuna mbunge mmoja wa chama fulani kutoka mkoa fulani kwenda kuchochea vurugu, na inajulikana kuwa ni mbunge G. Lema ndio alikuwa Tarime pia G...
  17. Mumwi

    Tetesi: Ufisadi Arusha.

    Wana jf baada ya ujenzi wa vyoo shule Suye kujengwa kwa 80,000,000/- kuna tetesi kwamba kuna daraja balo leshindwa kufunguliwa kutokana na mgogoro wa ujenzi wake kutumia sh. 300,000,000/- Hilo daraja liko Olorien ambako diwani ni meya wa manspaa ya Arusha wananchi wengi wanalalamika kwa...
  18. Mumwi

    Flora Mbasha na sherehe za muungano

    Leo katika sherehe za muungano kwenye TV nimemwona Flora Mbasha akiwa kwenye sherehe huko Zanzibar je alialikwa kwenda kuimba au alialikwa tu kuhudhuria sherehe? Maana sikuona akiimba.
  19. Mumwi

    Meya Arusha

    Leo katika ibada ya ijumaa kuuya moja wa madhehebu iliyofanyika katika uwanja wa shekh Abed jijini Arusha na mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha Isidori Shirima pia kulikuwa na viongozi mbalimbali wa serikali, vyama vya siasa, maaskofu na wachungaji. Cha kushangaza ni kwamba meya wa...
  20. Mumwi

    Msomi Chuo kikuu Dar arudi CCM.

    Nimeona katika ITV mwanachuo alisema alihama ccm kutokana na ufisadi lakini kwa kujibu gamba ccm ameamua kurudi jamaa anatia Huruma maana wenzake walikuwa na kijani na njano. Yeye hata kakofia hana je wasomi mwalionaje Hilo?
Back
Top Bottom