Kwa wanachadema tu

Mkuu jana nilizima tv nikawa nasikiliza mpira,niliona aibu sana kwa sababu kulikuwa na Balozi wa Sweden pale,yaani nahisi yule mzungu aliwadharau sana hao wabunge,nachojua mimi mbunge ni mtu mwenye uwezo mpana sana wa kufikiri,hilo ni somo tosha kwa watanzania
 
Kwanini tusiwatafutie hawa ccm A na ccm B band ya music wa mipasho waende huko alafu sisi chadema tuendele na mipango ya kujenga taifa letu
 
Hamjui mlitendalo. Akili zenu ni sawa na hao wabunge wenu wanaosusia vikao halali vya bunge.

Chadema wameenda bungeni ili kuonyesha umaarufu wa kupinga.
 
Wao wenyewe ni zaidi ya tusi, hvy hata wakitukana haitupunguzii kitu na wala hatutaacha jitihada za kulikomboa taifa
 
Hamjui mlitendalo. Akili zenu ni sawa na hao wabunge wenu wanaosusia vikao halali vya bunge.

Chadema wameenda bungeni ili kuonyesha umaarufu wa kupinga.

kumbe na wewe ni mwana cdm ila kigeugeu
 
Hamjui mlitendalo. Akili zenu ni sawa na hao wabunge wenu wanaosusia vikao halali vya bunge.

Chadema wameenda bungeni ili kuonyesha umaarufu wa kupinga.
Mtu anayetoa wazo kwa kuishabikia ccm ananifanya nahisi nimeingia choo cha stendi au kama nipo kuzimu,Ni lini macho yatawafunguka watanzania wanaoshabikia wakati wanaishi maisha ya kuwasupport mafisadi waendelee kuishi maisha ya paradiso?? Aibu kwako uliyejiita mzee hadi umekuwa na mtazamo wa kizee kwa karne isiyohitaji mawazo ya kizee.
 
Watesema na kuchonga sana na kutukana sana wakichoka wataacha,hawatukondeshi wala kutunyima usingz siku zote mkosaji ndio hukonda na kushndwa kulala kwa mawazo,yanaingilia sikio hili na kutokea lingne kwa hyo kama watoto wao wanawapongeza kwa kutukana waendelee 2,mtu mzima hovyo naamini inawahusu,
 
Tunawasubiri huku uraiani tutaimba nao waache waendelee kutuzidishia hasira mwisho wao umefika na utakua mbaya na waaibu kuliko wa gadafi watu wazima hovyo kabisa nikiwaona magamba najisikia kutapika
 
Kwa maoni yangu wanachadema wote ni heri kutokuangalia bunge maana chadema imetukanwa sana na wabunge wa ccm A na ccm B. Kweli Mungu turehemu sijui tunakoelekea.

Nimejifunza kuwapuuza kama anavyofanya Tundu Lissu....
 
Hamjui mlitendalo. Akili zenu ni sawa na hao wabunge wenu wanaosusia vikao halali vya bunge.

Chadema wameenda bungeni ili kuonyesha umaarufu wa kupinga.
Mkuu hii topic haikuhusu bana,
soma heading pale juu!!!
Au wataka kujiunga nasi nkuletee kadi?
 
Hamjui mlitendalo. Akili zenu ni sawa na hao wabunge wenu wanaosusia vikao halali vya bunge.

Chadema wameenda bungeni ili kuonyesha umaarufu wa kupinga.

fuc******#### UUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
UUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!!!

Wao wenyewe ni zaidi ya tusi, hvy hata wakitukana haitupunguzii kitu na wala hatutaacha jitihada za kulikomboa taifa

nimegundua kuwa watu tunatofautiana kufikiri hivyo c kosa lako ungejua ukisemacho hata kichaa hawez kusema. CHADEMA endeleen mckate tamaa tupo pamoja na ktk ukomboz visiki ni kawaida hivyo jitahidin k kuvivuka. pia endeleen na mapambano.
 
Makamanda msiogope maana mwisho wa haya yote kwa wana Cdm, wapenda haki na watanzania wanyonge upo! Wanayotukana kwa Cdm itawarudia wao maana hata bibilia inasema "kinachodhuru mwili ni kile kitokacho kwenye nafsi ya mtu na sio kiingiacho
 
Wakuu mimi niko tofauti kidogo na mleta thread,kwa sababu moja,mi nadhani tuwe na roho ya uvumlivu kuwaangalia hawa CCM A na B pale mjengoni ili tupate nafasi ya kuwatambua wazi wabaya wetu waliojitokeza wazi wazi ili siku itakapofika ambayo wameindaa wao kwa takribani miaka 50 tuweze kukabana nao vizuri,mi natamani sana kuwa-mark hao wenye uchungu wa kutetea mafisadi,magamba,wezi na wakandamizaji wa haki ya wa-TZ na nguvu ya wavuja jasho wa bongo.tukiwafahamu kwa nyuso zao inapendeza zaidi,na kwa upande wangu kila ninapowaona live hasira juu yao inaongezeka natamami linuke muda wowote,na mwisho huwa nashushia na castle kwa hasira,hata leo nimechomoka kwenye umachinga wangu nije nikamte sura zingine,kwa bahati mbaya nasikia hawajakuwa nabunge jioni hii.ngoja kesho nikamate sura zingine.
 
nimegundua kuwa watu tunatofautiana kufikiri hivyo c kosa lako ungejua ukisemacho hata kichaa hawez kusema. CHADEMA endeleen mckate tamaa tupo pamoja na ktk ukomboz visiki ni kawaida hivyo jitahidin k kuvivuka. pia endeleen na mapambano.
MKUU UMELEWA? au unamakengeza?
 
hv kuna mtu bado anashabikia CCM? HUYU JAMAA ANAYEJIITA MZEE NAHISI AKILI AKILI YAKE SIO NZURI!
 
Mtu anayetoa wazo kwa kuishabikia ccm ananifanya nahisi nimeingia choo cha stendi au kama nipo kuzimu,Ni lini macho yatawafunguka watanzania wanaoshabikia wakati wanaishi maisha ya kuwasupport mafisadi waendelee kuishi maisha ya paradiso?? Aibu kwako uliyejiita mzee hadi umekuwa na mtazamo wa kizee kwa karne isiyohitaji mawazo ya kizee.

Ha!ha!ha! heri kushabikia choo cha stendi kuliko CDM.poleni WAJELAJELA WOTE WA FIKRA
 
Back
Top Bottom