Flora Mbasha na sherehe za muungano | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Flora Mbasha na sherehe za muungano

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mumwi, Apr 26, 2011.

 1. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #1
  Apr 26, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Leo katika sherehe za muungano kwenye TV nimemwona Flora Mbasha akiwa kwenye sherehe huko Zanzibar je alialikwa kwenda kuimba au alialikwa tu kuhudhuria sherehe? Maana sikuona akiimba.
   
 2. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #2
  Apr 26, 2011
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Kaaazi kweli kweli, huyu ndo GT..!
   
 3. MchunguZI

  MchunguZI JF-Expert Member

  #3
  Apr 26, 2011
  Joined: Jun 14, 2008
  Messages: 3,623
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  Kwani waliomuinua ktk siasa walikuwa wapi?
  A comfort girl!
   
 4. mkibunga

  mkibunga Senior Member

  #4
  Apr 26, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  je vk hakuwepo au leo ilikuwa zamu yake fm yana mwisho watachangia trip mpaka wawe nyota wa zinduka
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Apr 26, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Dokiii naye alikuwepo!!
   
 6. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #6
  Apr 26, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,283
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Msanii Dokii pia alikuwepo kwenye jukwaa nafikiri walikuwa na mwaliko
   
 7. Esperance

  Esperance JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona hajaalikwa 20%?? Kuna jambo hapo.
   
 8. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #8
  Apr 26, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Hivi Rose mhando,upendo nkone na waimbaji wengine pia wa injili walikuepo?kama jibu hapana basi ndio hapo utajua huyu dada anaimba kwa minaajili hani na utaelewa si wote wanaoimba kumsifu Mungu wanamsifu kweli bado wako kibiashara zaidi.
   
 9. M

  Mafie PM JF-Expert Member

  #9
  Apr 26, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 1,318
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Huo ni ukweli Flora tunamjua sana, yuko kibiashara zaidi. Wala siyo mwimbaji mzuri ila alibebwa tu na watu flani maarufu. Huoni anavyojikaza wakati wa kuimba? Anajaribu kuiga sauti za makoma lakini huwa anachemka sana. Ila kwa kuwa Watz hatujui waimbaji wazuri na wenye huduma huwa tunafurahia zaidi makelele na a kuruka kwingi. Poleni wana Gospel wenzetu maana Huduma au uimbaji uliamiwa kitambo na kuwa fani na usanii. Huoni hata Kidumu katoka na Gospel nzuri tu?
   
 10. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2014
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Hizi ni nymba za watawala
   
 11. sumaphd

  sumaphd Member

  #11
  May 30, 2014
  Joined: May 28, 2014
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hta mm mgen hapo kaka
   
 12. K

  Kashishi yetu JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2014
  Joined: Mar 22, 2014
  Messages: 1,597
  Likes Received: 696
  Trophy Points: 280
  Chakula Cha Mwanasiasa Hicho,ndo Maana Kakimbilia Gest Akasuguliwe Kisawasawa
   
 13. nandembako

  nandembako JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2014
  Joined: Jun 16, 2013
  Messages: 437
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 60
  Hao mnaowataja wote waume Zao ndio majinuni?
   
 14. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #14
  May 30, 2014
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  mumewe kagonga mdogo wa flora! du sasa naona bi dada anakuwa mjane make akitiwa hatian ni 30 years!
   
 15. Victor wa happy

  Victor wa happy JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2014
  Joined: Apr 24, 2013
  Messages: 8,692
  Likes Received: 5,687
  Trophy Points: 280
  Huyo flora anamnyima mumewe unyumba had anabaka??
   
 16. Entim

  Entim JF-Expert Member

  #16
  May 30, 2014
  Joined: Jun 7, 2013
  Messages: 3,323
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  yuko hotel gani eti? Please help! If possible room Number.....hahaaaa
   
 17. a

  andreakalima JF-Expert Member

  #17
  Jun 23, 2014
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 2,917
  Likes Received: 1,808
  Trophy Points: 280
  mwakani lazima agombee ubunge.
   
 18. p

  pilipili kichaa JF-Expert Member

  #18
  Jun 23, 2014
  Joined: Sep 3, 2013
  Messages: 6,275
  Likes Received: 2,236
  Trophy Points: 280
  Kuna Nabii mmoja a.k.a. mzee wa Misukule amemtabiria akimpa mumewe atakufa!
   
 19. K

  Kamongo JF-Expert Member

  #19
  Jun 23, 2014
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Ahaa kweli kabisa akimpa mumewe atakufa
   
 20. Matope

  Matope JF-Expert Member

  #20
  Jun 23, 2014
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 539
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Post hii ni ya toka mwaka 2011 kumbe Frola kaanza mambo ya kijinga muda mrefu nimegundua kitu cha tofauti kwa kweli
   
Loading...