Meya Jiji la Arusha presha inapanda presha inashuka

Meya Jiji la Arusha presha inapanda presha inashuka

Mumwi

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
592
Reaction score
123
Diwani wa kata ya Olorien ambaye pia ni Meya wa Jiji la Arusha toka uchaguzi wa 2010 amesababisha Jiji la Arusha kuwa kwenye migogoro mingi, tunakumbuka Januari 5 2011 kuna watu waliuawa kwa risasi.

Pia katika kata ya Olorien amekuwa akilalamikiwa kwa matumizi mabaya ya pesa kuna zahanati ya kata ambayo mpaka sasa ujenzi wake umefikia kupaua na kupigwa bati imetumia milioni 67 ukiangalia haiandani na hiyo hela.

Kata ya Olorien tangu uhuru imekuwa chini ya utawala wa CCM lakini cha ajabu tangu tarehe 15 mwezi huu imekuwa chini ya CHADEMA, maana ina mitaa 6 mitano CHADEMA imechukua na mmoja mwenyekiti ni CCM ila wajumbe wote ni CHADEMA hivyo kwenye vikao vya kata atakuwa diwani na mwenyekiti wa mtaa pekee.

Shukrani kwa wananchi wa Oloirien kwa kazi kubwa walioifanya na mwakani udiwani utamponyoka maana kuna jembe anaitwa Zack wiki iliyopita wananchi walimbeba na kumwambia mwakani udiwani ni wako hakuna atakayekushinda.

Olorien wanafanya sherehe Jumaamosi kuna wananchi wamejitolea ng'ombe na vyakula vitapikwa kwa ajili ya sherehe.

Nawasilisha.
 
ukomboz umeingia tanzania wamwalike diwan wao ashiriki furaha ya watu wake
 
Hiyo zahanati iliuojengwa kwenye mkondo wa mto ? Kama 67 m zimetumika ni wizi kama kawaida yao. Huwezi kujenga kuta na paa kwa bei hiyo.
 
Hiyo zahanati iliuojengwa kwenye mkondo wa mto ? Kama 67 m zimetumika ni wizi kama kawaida yao. Huwezi kujenga kuta na paa kwa bei hiyo.

Ndiyo zahanati iko mtoni mbele ya ofisi ya kata kama unaenda masai camp Zack alisema watafanya mabadiliko ofisi ya kata itaenda kule zahanati iwe paleilipo ofisi ya kata maana pale gari haingii.
 
Olorien wanafanya sherehe Jumaamosi kuna wananchi wamejitolea ng'ombe na vyakula vitapikwa kwa ajili ya sherehe.

Nawasilisha.

Nimependa hii ya kuandaa vyakula baada ya kazi nzuri tofauti na wenzetu wao hula kabla.
 
Mwanza wameiba bl 43 tena zikiwemo za kuwezesha vijana na akina mama na sisi vijana tuliambiawa tuunde vikundi tutapewa ml 10
kumbe baadae majizi wakaja kuzigawana.
_na hadi leo hii hakuna aliyewajibishwa ujue ukiaambiwa CCM NI SAWA NA EBOLA UJUE...
FUTA DELETE CCM!!
 
Poleni sana, CCM ni sawa tu na UKIMWI EBOLA hata Saratani, Tufute kabisa kichwani na ardhini, wabaki kwenye vitabu vya historia na magazeti ya udaku, ooo Nape au Kambona kaolewa vitu vya namna hiyo
 
Ha ha haaa. Saaa ataongozaje vikao? Hii ni lazima presha ipande na kushuka. Aangalie kwani inaweza kupanda once and for all au kushuka once and for all akabadili jina na kuanza kwa prefix ya marehemu so n so.
 
binadamu ni mnyama mkatili sana ......sasa hii ni nini
 
Hili pigo ni takatifu sana na kama ningelikuwa mie ningejiuzuru tu mapema make ni presha sana na pesa hupati tena ..Ukawa mtaua watu jamani
 
Nimependa hii ya kuandaa vyakula baada ya kazi nzuri tofauti na wenzetu wao hula kabla.

Mkuu Gwalo nimependa sana hii analysis yako kuhusu chakula. Ni kweli kuwa wao hutumia chakula kama njia ya kuvuta watu kwenye mikusanyiko na wala siyo kujipongeza. Big up
 
Natamani sana nisikie mwenyekiti wangu wa CDM kata ya Baraa naye anawashukuru wananchi kwa kazi nzuri waliyoifanya ku-empty recycle bin, kata ya baraa hawaku delete ccm, wali-empty recycle bin.
 
Kwa watu wasitaarabu kama CHADEMA, vikao vya maendeleo siyo vita. Ninaimani hekima ya kawaida tu itatumika ambayo ni kuweka mbele maslahi ya uma kitu ambacho hakiwezi kuwa mgogoro. CHADEMA hawanaga utamaduni wa kuhujumu maendeleo eti tu ili kudhalilisha kiongozi aliyepo kama ccm vile wafanyavyo kunapokuwa na kiongozi asiyekuwa wa ccm.

Pengine huyu diwani atapata wakati mugumu kutekeleza sera za ccm ambazo ni ufisadi, dhuruma, wizi, uwongo na hujuma kwa wananchi. Hapo hataweza maana hana escrow team ya kufanya nayo hayo madili kama anavyofanya kikwete na majambazi wenziye kwenye raslimali za taifa.

Back
Top Bottom