Mhuni na muuaji yupi afadhali.

Mumwi

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
592
122
Tumesikia sehemu mbali mbali chadema wakiitwa wahuni au chama cha kihuni pia kumekuwa na shutuma sehemu mbalimbali hapa nchini kuwa ccm wanatesa wanachi na kuua napenda kuuliza swali mhuni na muuaji yupi ni afadhali?
Nawasilisha .
 
Muuaji ni hatari zaidi kwa sababu anaweza kumuua hata mhuni lakini mhuni hawezi kuua mtu.
 
Bora mhuni kwani madhara yatakuwa ni kwake mwenyewe ila luuwaji
ana madhara kwa wengine kwani hajiuwi mwenyewe anauwa wengine na madhara ni kwa wengine
 
huyo aliye tumia hiyo lugha hakutumia fikra sahihi ndo tatizo la masaburi ccm
 
Back
Top Bottom