Hii kali

Mumwi

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
592
122
Katika historia ya dunia nimesikia kwa mara ya kwanza kwamba mtu alitaka kubakwa hadharani mbele ya watendaji Wa kata makatibi kata mabalozi Wa nyumba kumi, katika hili je ni kweli au DC kadanganya? Yawezekanaje kutokea kitu Kama hicho hadharani?

maulaga

JF-Expert Member
Feb 22, 2009
472
120

Jibu sahihi litapatikana mahakamani kwa kuleta mashahidi walioshuhudia tukio. Wakati huo uchaguzi wa Igunga utakuwa umepita na watanzania watakuwa wanaendelea na shughuri zao kama kawaida huku mfumko wa bei ukiwatesa ile mbaya. Wataalamu wa uchumi wataendelea kutabiri hali nzuri ya uchumi baada ya miaka 100 ijayo baada ya nchi yetu kuanza kutumia chanzo kipya cha umeme cha NUKILIA kule Makete.

Duble Chris

JF-Expert Member
May 28, 2011
3,482
564

Mkuu sijaipata hii kuna mpango wa kuzalisha umeme wa nyukia huko Makete ?

maulaga

JF-Expert Member
Feb 22, 2009
472
120
Mkuu sijaipata hii kuna mpango wa kuzalisha umeme wa nyukia huko Makete ?
Si ndio mipango hewa ya watawala wetu ktk nchi hii. Utawasikia, oh tupo kwenye mchakato, mara oh upembuzi yakinifu unaendelea au oh tunamtafuta mbia wa kuzalisha umeme wa mawimbi ya kisima, mara oh uchunguzi unaonyesha kinyesi cha nguruwe kinaweza kutoa megawati 200 za umeme na blabla kibao.

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,550
5,687
Hii ni mara ya kwanza kutokea Tanzania. Yule bibi ameamua kujishusha thamani yake kuwa alikuwa anataka kubakwa ili amfurahishe jk wa pili.

VIKWAZO

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,909
580
Huyu mkuu wa wilaya anaiendesha au kulalamika kama mwanamke zaidi ili kupoteza ukweli kwamba alikuwa kwenye harakati zake za uharifu
ina maana yeye alitaka CHADEMA wamchekee au CCM wameanza kumtisha kwamba wakishindwa wanampiga chini kwa kufanya harakati za kiharifu
huu ni utoto
hii ni ishara kwamba wilaya haina kiongozi

Hakikwanza

JF-Expert Member
Dec 11, 2010
4,035
996
Mkuu sijaipata hii kuna mpango wa kuzalisha umeme wa nyukia huko Makete ?

Kenge gani atakaye zalisha huo umeme kama wa maji na makaa ya mawe umewashinda.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
71,535
143,097
Katika historia ya dunia nimesikia kwa mara ya kwanza kwamba mtu alitaka kubakwa hadharani mbele ya watendaji Wa kata makatibi kata mabalozi Wa nyumba kumi, katika hili je ni kweli au DC kadanganya? Yawezekanaje kutokea kitu Kama hicho hadharani?

ccm oyeee

Ngonini

JF-Expert Member
Sep 1, 2010
2,023
562
Alitaka kubwakwa au alibakwa? Nadhani angesema amebakwa ingependeza zaidi. Halafu ni meshangaa huyu mama mzima hivyo eti anaitwa ms inamaana hana hata mme nini?

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
28,377
26,739
Kibibi chenyewe cha kubaka ndio kile!!!!???
Kama inatokea nabaki na yeye wawili tu hapa duniani,
Hata kama nina hamu kiasi gani, wacha sabuni zichukue nafasi yake!!!

King’asti

Platinum Member
Nov 26, 2009
27,799
24,533
lol! umenichekesha hadi nimesahau shida zangu! friday nilimuona jamaa wa uchukuzi anaongelea habari ya kujenga reli mpya za kilomita ngapi sijui! pamoja na kifafa cha trl kupona kabisa! wanampigia simu wadau wanamuambia acha kutuzuga anasema naomba mtuamini,ilani ya chama itatimizwa manake we still have 4 yrs.nilijichekea mwenyewe tu! kweli wanasiasa wanaahidi kujenga daraja ambapo hakuna mto!

Si ndio mipango hewa ya watawala wetu ktk nchi hii. Utawasikia, oh tupo kwenye mchakato, mara oh upembuzi yakinifu unaendelea au oh tunamtafuta mbia wa kuzalisha umeme wa mawimbi ya kisima, mara oh uchunguzi unaonyesha kinyesi cha nguruwe kinaweza kutoa megawati 200 za umeme na blabla kibao.

KALYOVATIPI

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
1,414
196
Alitaka kubwakwa au alibakwa? Nadhani angesema amebakwa ingependeza zaidi. Halafu ni meshangaa huyu mama mzima hivyo eti anaitwa ms inamaana hana hata mme nini?

Masuti na magamba wengine si ndo wanakula mizigo hiyo wataolewa na nani?

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,593
434
Si ndio mipango hewa ya watawala wetu ktk nchi hii. Utawasikia, oh tupo kwenye mchakato, mara oh upembuzi yakinifu unaendelea au oh tunamtafuta mbia wa kuzalisha umeme wa mawimbi ya kisima, mara oh uchunguzi unaonyesha kinyesi cha nguruwe kinaweza kutoa megawati 200 za umeme na blabla kibao.

Yaani hii serikali kwa kupiga sound hawajambo.....MKUU HAPA UMENENA!!!

1 Reactions
Reply
Top Bottom