Kujivua gamba kumeisha?

Mumwi

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
592
122
Wakuu napenda tu kuuliza hilo swala la kujivua gamba iliishia wapi?
Au mlengwa alikuwa Rostam? Maana kulikuwa na mbwembwe nyingi na maneno kibao lakini sasa hivi ni kimyaaaaa imebaki tu maongezi ya watu mmoja mmoja tu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom