Nahitaji msaada wenu tafadhali, nimejaribu mara kadhaa ku install ir 2204 kwenye pc lakini ikifikia hatua ya kuunganisha waya, inakaa muda mrefu halafu inaandika imeshindwa kutambua devise niliyounganisha, nifanyeje???
Wakuu habarini za muda huu, nimehamia nyumba ambayo kuta zake zimepakwa rangi ya mafuta, bahati mbaya kuta ni nyeusi sana, either ni kutokana aliyekuwepo alikuwa anapikia ndani. Nimesafisha lakini ule uchafu hautoki.
Sasa nauliza je nawezaje kupaka rangi ya maji juu ya huu ukuta wenye rangi ya...
Habari wakuu,
Ninahitaji sana mkata wa Dawasa unaohusu huduma kwa mteja,nimejaribu kutafuta kwenye website yao lakini nimekuta kurasa kumi tu na nyingine hawaja ziweka.
Msaada tafadhali.
Wadau naomba kuelimishwa kuhusu moneymaker Pump. Je, ina uwezo wa kusukuma maji umbali gani? Ubora wake ukilinganisha na hizi pump za laki tatu za Kariakoo?
Naomba kujua na bei zake na wapi nitaipata kiurahisi kama nikiridhika kuwa ni bora zaidi.
Sababu sio hii mkuu,na sio kwamba tuko nyuma kimaendeleo,soma maelezo haya ya Nyalotsi......
Kwenye lile zoezi la upimaji lilifanyika miaka ya nyuma kwa kila anayetaka kwenda iligundulika ASILIMIA 50 ya waliopimwa hawaendani na waliitwa ndo baba zao.
Hivyo ikahofiwa kutatokea uvunjaji wa ndoa...
Pia kama kuna wanasheria wanaotoa huduma za uwakili bure ili wamsaidie huyu dada,ni masikini sana,kaachiwa na mumewe nyumba moja na hana cha ziada cha kumsaidia,na wapo vijijini
Habari Mkuu,nina shemeji yangu ambaye alifiwa na mumewe ambaye walifunga nee ndoa ya kiislam, sasa tokea afe ndugu wa mume wamekuwa wakimsumbua sana mke wa marehemu kuhusiana na mali, huku wakishindwa kutoa msaada wowote kwa watoto, nikamshauri aende mahakamani, mahakama ikaamuru kikao cha ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.