Search results

  1. Nshomile wa Muleba

    Mwenye Uzoefu na Nchi ya Namibia, Nipe Hints tafadhali

    Jambo jambo? Nimejikuta nina pata mahaba ya kutaka kutembelea ,kuishi hii nchi na kuijua vizuri. Nimesoma Google baadhi ya taarifa za nchi hiyo na nataka mtu anayejua zaidi anijuze -Biashara ipi inafana sana? -Sheria za uwekezaji zikoje kwa wageni? -Sheria za uhamiaji kwa wageni? niliwahi...
  2. Nshomile wa Muleba

    Unapompatia mke/mwanamke Pesa ya mahitaji fulani, hupaswi kudai chenji kabisa sawa?

    Jambo Jambo? Nashangaa wanaume wenzangu ambao wameoa na wale ambao hawajaoa kuwa na tabia za ajabu pale ambapo anakuwa anampatia pesa ya matumizi ya aina yoyote na ikatokea kuna chenji basi huwa wanadai. Mfano wa 1 Umempa mke/Mwanamke 10,000/= akununulie vocha ya mtandao husika ya 2,000/=...
  3. Nshomile wa Muleba

    Mimi shabiki wa Yanga, nimembatiza jina Skudu kuwa Skubiduu (Scooby-Doo)

    Jambo Jambo? Wote tunafahamu kuwa skubiduu(Scooby-doo) wa katuni yetu pendwa alikuwa na bado anaendelea kuwa kichekesho kwenye luninga na vipindi vya watoto. Basi na mimi kama shabiki maandazi wa Yanga na kwa kuheshimu mapenzi ya dhati ya uongozi kwa kutusajilia Famba hili nauungana nao kwa...
  4. Nshomile wa Muleba

    Tetesi: Mtume Mwamposa anakusanya zaidi ya Jumla Million 50 kwa ibada zote kwenye wiki 1

    Jambo Jambo? Watu wanaweza kudhani pengine ni hadithi ya kusadikika lakini la hasha,Ni kweli baada ya kupokea taarifa hizi kwa mmoja wa viongozi wanaohusika na kuhesabu mtonyo.Iko hivi; Nina Mama mdogo wangu mtu wa makamo tu (Sister mdogo kwa bi mkubwa tumbo 1) ni muumini wa Mwamposa kwa zaidi...
  5. Nshomile wa Muleba

    Naomba kujuzwa juu ya Govt Bonds, ununuzi wa hisa DSE, Mutual bonds na UTT-Amis

    Jambo Jambo? Naomba kujua haya ya kununua bonds,hisa kwenye stock exchange na mambo ya UTT-AMIS kiufupi napenda kuwekeza hela kwenye mambo kama hayo, ambayo kwa shughuli zangu za utafutaji nalazimika kuwa kazini saa11 alfajiri mpka saa 2 kasoro usiku. Monday -Sunday,holiday ni siku 4 tu kwa...
  6. Nshomile wa Muleba

    Mtalii kutoka Marekani aichana makavu Tanzania kwenye Luninga

    Jambo jambo? Hii video ilikuwa mahojiano ya kipindi maalum ambacho huwahoji watalii kutoka duniani na waliotembelea Kenya, Uganda, na Tanzania, in short ni EAC. Jamaa amewapa makavu kuwa Tanzania inaiishi miaka 30 nyuma ya dunia huku nchi jirani zikiendelea kuchapa mwendo. Lakini tusisahau...
  7. Nshomile wa Muleba

    Kuna Wanaume wengine Siku inaisha hata “push up “tatu hapigi. Badilika

    Jambo jambo? HUKU TUNA MACHUNGU YA BANDARI YETU EMU TUPITIE HAPA. Kila mtu yuko bize na mambo yake, iwe kazi biashara au majukumu mengine. Ila nashangaa kuna wanaume wengine huwa siku inapita hata push up 3 hajapiga ili kuchangamsha mwili na kuweka mwili katika tension. Ukitaka kusema uko...
  8. Nshomile wa Muleba

    Uhusiano wa Wachaga na Ugonjwa wa Kisukari kulikoni?

    Jambo Jambo? Poleni na mambo ya bandari lakini hongereni na majukumu ya kila siku ya maisha.Naenda moja kwa moja kwenye mada kama inavyosomwa hapo juu. Tangu najitambua mpka nafika hapa nilipo Huwa nasikia au kuona wagonjwa kadhaa wa kisukari lazima yani LAZIMA mchagga awepo na huwa idadi ni...
  9. Nshomile wa Muleba

    Nikiwa nasubiri Bunge kwa hamu zote wamenikatia chaneli

    Jambo Jambo? Niko zangu Kahama na leo sijaenda kibaruani kwasababu ya mafua makali na homa kimtindo. Nikaona ni wasaa wa kufuatilia “Bunge kibogoyo,” mwanzoni chaneli zote za bongo ziligoma wakaacha ya za dini ila hizi za nje zinaonyesha. Kwa hali ya bandari inayoendelea sina mzuka na chaneli...
  10. Nshomile wa Muleba

    Tetesi: Yanga Walambishwa Asali kwa Kisu, Feitoto kutimkia Simba SC

    Jambo Jambo? Yanga walilambishwa asali kwa Kisu, Favor zikazidi wakajiona wao ndo wenye nchi na wananchi, kumbe Hangaya ni mtu wa strategy. Siku zote ukitaka kumtuma Mbwa lazima umtupie mifupa miwili mitatu, kuna ile kauli ambayo si nzuri inayotumika mtaani inasema “Ukikubali kuolewa Sharti...
  11. Nshomile wa Muleba

    Mkasa wa kweli: Tulizichapa na member wa JF Tabata Shule

    Jambo Jambo? Hiki ni kisa cha kweli na kama mods wataniruhusu nitaweka PM screenshot za mimi na Jamaa jinsi tulivyochapana. Jamaa anajiita “Medecin“ humu sijui alitokea wap ila nakumbuka alikuwa ananiqoute kwa matusi kweny nyuzi fulani na mimi bila hiyana nikawa namjibu mpka jamaa akahamia PM...
  12. Nshomile wa Muleba

    Niko Chiller’s ya Kahama Town hapa, nani yuko karibu tupige vyombo?

    Jambo jambo? Haya kama uko karibu chapu chapu uje tujumuike. Haiwezekani Bar nzima anayetumia JF niwe peke yangu aiseee. Uwe mwanamke uwe mwanaume Sijali mradi Gambe zitembeee Kama unavuta shuka muda huu unasubiri mpka jumamosindo ule bhata pole na Nikutakie usiku mwema BENKI ZIMESHATEMA...
  13. Nshomile wa Muleba

    Hawa Wanaume Wenzetu Wanaolilia Wanawake ovyo ovyo Wanatuangusha sana aisee

    Jambo Jambo? Leo nimechukizwa sana na idadi ya nyuzi nilizokutana nazo hapa JF. Nyuzi za wanaume wengine wakurya kabisa eti wanalilia wanawake ambao hawajawahi kuwaona (baadhi) na kuandika nyuzi mbalimbali za kutaka kuonekana ma”gentleman” kumbe ni maboya tu.[emoji23] Inasikitisha vbaya sana...
  14. Nshomile wa Muleba

    Hivi Kuna Rais aliwatumia kwa kiwango kikubwa na vilivyo TISS kama Magufuli?

    Jambo Jambo? Nauliza tu swali. Hivi kuna Rais alitumia Afisa Usalama hawa TISS kwa kiwango kikubwa hivi? Kupitia hao TISS aligundua mengi sana na mengine hatuyajui kwasababu ni siri za Nchi, mengine ya juu juu ni haya kama yapo mengine utayaongezea; 1. Muhimbili ambako aligundua upigaji wa...
  15. Nshomile wa Muleba

    Makamu Wa Raisi Dkt.Mipango Akabidhiwa kifimbo cha kichifu kuonyesha kuwa yeye ni mamlaka namba moja

    Jambo Jambo? Wakati wa uzinduzi wa barabara ya Mto wa Mbu-Loliondo yenye kilometa 217 na sehemu ya wasso -sale yenye kilometa 49 mhe.makamu wa raisi Dkt.Mipango amekabidhiwa kifimbo hicho kuonyesha kuwa yeye ni mamlaka na anapaswa kusikilizwa. Sasa naomba kujua wadau. Ina maana kunaweza...
  16. Nshomile wa Muleba

    Wanawake mnaofuga nywele kwenye “Nyau” huwa mnanikosha aisee.

    Jambo Jambo? Moja kwa moja kwenye point. Aisee huwa napenda sana Nyau mwenye nywele aisee, Sipendi mwanamke awe na kipara au wale wanawake wanaotoa nywele kwa kutumia wax kwenye nyau. Mwanzoni kipindi naangalia “X” videos nikiwa kwenye balehe nilikuwa sipati mzuka nikiona manzi ana kipara...
  17. Nshomile wa Muleba

    Hongera Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu kwa makala ya historia ya Ikulu

    Jambo Jambo? Kama mnavyofahamu kuwa mimi ukiniwekea CCM na Andazi unachagua nini, ni dhahiri kuwa nitachagua Andazi ila siku zote kama serekali isiyojitambua ikafanya jambo la maana basi yapasa kuwapa maua yao. Hii Makala ya Historia ya Ikulu Tangu Nyerer mpaka awamu hii kwa mahojiano na wake...
  18. Nshomile wa Muleba

    ATCL yafikiria kupeleka Boeing 787 route ya Dar-Bukoba, Yadai Abiria ni wengi sana

    Jambo Jambo? Kwa habari za chinichini zilizonifikia kutoka chanzo muhimu ninacho kiamini ni hizi hapa. ——————————————————————- Unaambiwa ATCL Yafikiria kuondoa ndege zake ndogo kama bombadier na zingine katika route ya Dar-Bukoba,Bukoba-Dar kwasababu wateja/abiria wanaoenda huko kuwa wengi...
  19. Nshomile wa Muleba

    Mwanaume Kama Una Roho Ndogo, Usishuhudie Mke wako Akipimwa Njia Ya Mtoto wakati anakaribia kujifungua.

    Jambo Jambo? Kwa wanaume kama wewe ni mfuatiliaji au ulishawahi kumpeleka mke/mchumba hospital wakati ni mjamzito na anakaribia kujifungua nadhani mmekwisha kushuhudia hii,Kama hujawahi kushuhudia leo ngoja nkujuze yafuatayo. Kama mwanamke amebeba mimba yake ya kwanza, wakat wa kujifungua ni...
  20. Nshomile wa Muleba

    Mwanaume unaenda kusalimia ukweni halafu unalala hapohapo, We vipi?

    Jambo Jambo? Yani unakuta mwanaume ana akili timamu na anajisifia kuwa mwanaume shababi, ila kunapotokea safar ya kwenda kusalimia ukweni (upande wa wazazi wa mwanamke), analala hukohuko. Embu sikia, Haijalishi wana nyumba kubwa au ndogo kiasi gani, Haileti heshima hata kidgo. Hapo ni muda...
Back
Top Bottom