Mwanaume Kama Una Roho Ndogo, Usishuhudie Mke wako Akipimwa Njia Ya Mtoto wakati anakaribia kujifungua.

Nshomile wa Muleba

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
2,165
5,551
Jambo Jambo?

Kwa wanaume kama wewe ni mfuatiliaji au ulishawahi kumpeleka mke/mchumba hospital wakati ni mjamzito na anakaribia kujifungua nadhani mmekwisha kushuhudia hii,Kama hujawahi kushuhudia leo ngoja nkujuze yafuatayo.


Kama mwanamke amebeba mimba yake ya kwanza, wakat wa kujifungua ni lazima njia ifunguke walau sentimita 8 au 9 na si chini ya hapo, Na kama mwanamke ameshawahi kubeba mimba awali na hiyo ni mimba ya pili ya tatu au kuendelea ni Njia ikifunguka hata chini ya sentimita 8 au zikawa 7 anaruhusiwa kujifungua kwasababu nyonga imekwisha panuka.

ILA UPIMAJI WA NJIA YA UZAZI SIYO NZURI KWA KWELI KWA MAANA WAUUGUZI NA MADOKTA HUSONTEKA MIDOLE KWENYE NYETI ZA MKE/MCHUMBA WAKO MARA KWA MARA NA KWA MIDA TOFAUTI TOFAUTI MPKA WAPATE SENTIMITA HIZO.

Unampeleka mke wako hospital, unakutana na vijana wadogo walioko field tena wakiume umri kuanzia 20 na 22 wamekaa labor room, wanakupokea we na mke wako na kumlaza mke wako, wewe ukiwa pembeni, kijana huyo anampima mapigo ya moyo ya mtoto tumboni kisha anavaa gloves na kumwambia mke wako

“MAMA VUA NGUO YA NDANI HALAFU PANUA MIGUU NIINGIZE VIDOLE NIPIME NJIA”

mke wako kwa kuchanganyikiwa na uchungu na akijali hali ya mtoto anafanya hivyo kijana anashuhudia nyeti za mke wako na anasonteka vidole mbele yako huku unashuhudia anatoa vidole na utelezi wa ndani, huku akifurahia hilo zoezi na kama haijafunguka atakuja mwingine tena na huyu mwingine unakuta ana viganja na midole mikubwa na kumwambia mke wako

“PANUA NIONE KAMA IMEFUNGUKA TENA”

anavaa gloves anasonteka vidole kisha anatoa hivyo hvyo mpka njia ifunguke yote
Na kama njia pengine ina sentimita 4 au 3 ataambiwa afanye mazoezi ya kutembea korido za labor, atakuwa anaingiziwa vidole kwa masaa kadhaa au siku kadhaa mpak waone njia imekuwa kubwa na mtoto anaweza akapita.

Nakumbuka wakati nampeleka wife, niligoma mke wangu kupimwa na vijana wadogo kama wale ambao nilivyofika tu wakawa wanagombania ile nafasi ya kutaka kufanya ujinga ule.

Nilimuita dokta mkuu( sista) na kumwambia mke wangu afanye upasuaji kwasababu wakati wa kujifungua kawaida kuna complications nyingi. wakakubali akafanyiwa upasuaji, na ataendelea na huo utaratibu mpka mtoto wa 4.

WANASEMA MFICHA UCHI HAZAI. Na nakubaliana na hilo kuwa hospital uchi si mali.
Lakini kule labor kuweka tuvijana vidogo twa field inakera kiasi.Tena twingine tuna viganja vinene kama TANGAWIZI NARUDIA KAMA TANGAWIZI


N:B hospital niliyoenda ni ya kanisa Wakati wa upimaji njia wanakuruhusu ili wakaushauri kama mke wako ajifungue kawaida au upasuaji kabla ya kupima nilizuia )


(Nimeshusha huu uzi baada ya kusikia wauuguzi wawili wakiwa bar juzi wakipiga soga, Mmoja akawa anasema kuwa siku hiyo ilikuwa nzuri kwa kuwa alikuwa anapata bahati ya kupima (Nyau )zilizolaiini , Shaved na natural )



KAMA UNA ROHO NDOGO BAKI HOME MTUME MAMA MKWE AU MAMA YAKO UKIENDA WEWE UNAWEZA UKARUSHA NGUMI.





nshomile
kwasasa
kahama,Tanzania.
 
Shida wewe unawaza vingine.Unatakiwa uwaze kuwa sehemu ya siri ni sehemu ya mwili kama ilivyo mkona,mguu,jicho ,ziwa nk.Otherwise usimpe mkeo au mchumba mimba
Yaah,
Kauli yangu ya kuwataka waume waache kuamini kuwa mbususu imewekwa sukari ya utamu waache

Mbususu Ni sehemu ya kupokea shahawa na kuzalia mtoto, baaasi

Utamu ni Ejaculation ya mume mwenyewe!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu humu ndani wanajifanya Kama hawajaumbiwa hizi roho za kibinadamu!
Huruma,
Hasira
Wivu

Mtu akileta uzi unaogusa hisia zake za huruma, hasira, wivu, mtu anatoka huko kwa speed kuja kumsagia kunguni!

Mwanaume wa kawaida hawezi chukulia simple mke wake anachezewa nyeti na mwanaume mwingine!

Hizo circumstances Ni kwamba hazina namna! Itabidi kujikaza kiume!

Sio jitu linakuja kutoka kusikojulikana kuja kudharau hisia ya hasira ya mwanamume mwenzake kuona mkewe anashikwa nyeti zake na vijana wadogo ambao amewazidi umri kwa mbaali!

Mtoa mada, naiona hisia yako iko real kabisa!
Ila hatuna namna, tuombe ifike wakati issue ya jinsia, na age itazamwe hospitalini!
Nawapongeza wenzetu huko ughaibuni, mtu anaweza kudecide hospitali ipi na Dactari yupi amhudumie mtu wake!



Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom