Naomba kujuzwa juu ya Govt Bonds, ununuzi wa hisa DSE, Mutual bonds na UTT-Amis

Nshomile wa Muleba

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
2,165
5,551
Jambo Jambo?

Naomba kujua haya ya kununua bonds,hisa kwenye stock exchange na mambo ya UTT-AMIS

kiufupi napenda kuwekeza hela kwenye mambo kama hayo, ambayo kwa shughuli zangu za utafutaji nalazimika kuwa kazini saa11 alfajiri mpka saa 2 kasoro usiku. Monday -Sunday,holiday ni siku 4 tu kwa mwezi haitoshi kukuza biashara au usimamizi mzuri, mbaya zaidi kuna kuhama hama kutokana na location ya miradi.

Wife ana biashara zake na mimi nataka niwe na some kind of investment pembeni.

Pesa iliyopo kwenye kibubu ni million 19.7

BONDS
kuna mdau nilimsoma kuwa unaweza ukanunua government bonds, sijui mutual bonds kwa miaka kadhaa na ukawa unakula gawio.
Kuna hiki cha mutual bonds, hii ni nini?

STOCK EXCHANGE
Naonaga mfano kwenye DSE(Dar es salaam stock exchange) sijui hisa za Twiga sijui CRDB na makampuni kadhaaa,Ni utaratibu gani unatumika kununua na kujisajili na je nini faida zake, maana hii elimu ya haya mambo ni nadra kwa watu wengi,msaada plz

UTT-AMIS
Hii nadhani niliona uzi wake, ila majibu hayakuridhisha mana majibizano yalikuwa mengi mpka yanachanganya. Hii iko je, au utaratibu kujiunga na location za kupata more info.

OTHERS
Kama kuna muundo mwingine kama wa shughuli hizo za hapo juu naomba mzitaje na ufafanuzi wenu tafadhali

(HUWA NAONGEZEA KIASI FULANI CHA MSHAHARA KWENYE AKIBA YANGU HIYO, HIVYO NINA UHAKIKA KUWA KILA MWEZI (Panapo majaliwa ya mwenyezi) NINA WEZA NKAWA NAONGEZEA SOMETHING KWENYE INVESTMENT NITAKAYOCHAGUA)

JF kisima cha maarifa msaada wenu Tafadhali.
 
Wakikujibu nishtue mana mimi pia nataman sana kuwekeza kwenye upande huo ila elimu yangu kuhusu mambl hayo ni ndogo so naogopa kupata hasara kizembe
 
Thread Bomba. Wajuzi wachache na kama hawapo.
@DSE
 
Treasury Bonds ni nzuri hasa ya 25 yrs ambayo rates zake ni 12.56% kwa mwaka. Unapokea Coupon mara mbili kwa mwaka. Utaratibu ni lazima ufungue CDS account BOT ambapo Broker atashughulika na jambo Hilo.Ukinunua Bond Mfano ya 25yrs utalipwa 12.56% Kila mwaka kwa miaka 25 then itamature na utarudishiwa milioni 10 yako.
Unaweza kununua Bond kwa Discount, at per au at premium. Kwa sasa zinakuwa at discount kwa sababu watu wanawekeza kwenye biashara zaidi. Unapofanya maamuzu ya kununua Bond angalia inflation rate pia. Uwekezaji kwenye Bonds ni safest investment
UTT mifuko wa Liquid na Bond wanawekeza kwenye Bonds za muda mrefu na mfupi more than 90% asilomia chache wanawekeza kwenye Fixed Deposit s , Call Accounts etc. Return kwa mwaka uliopita haikuwa chini ya 14%
Hisa, hisa inahitaji Elimu kwanza, lakini ni uwekezaji mzuri zaidi hasa kampuni zinazofanya vizuri hasa CRDB, NMB, DSE, NICO ya sasa na Twiga cement. Unaweza kuweka Hela Kwenye Bond au UTT zile returns unanunua hisa hasa za hayo makampuni ili upate capital gain na dividend. Nimeenda haraka haraka but that is what i can share.
 
Ni kipindi ama wakati gani ni nzuri kununua bonds za serikali?.
 
asante mkuu.

Je,Kwa harakaharaka ipi ni nzuri kwa beginner?
 
Ni kipindi ama wakati gani ni nzuri kununua bonds za serikali?.
Inategemea, kipindi ambacho mazingira ya uwekezaji au biashara yamekuwa magumu watu hununua bond, hii hufanyika ili kuepuka kupoteza mtaji. Pia wengi hununua Bond za serikali pale ambapo inakuwa vigumu kufanya biashara kwa sababu mbalimbali kama vile kukosa muda wa kusimamia biashara. Wengine hununua kipindi ambacho Bond zinauzwa kwa discount
 
Point yangu ni miezi ipi ambayo bond huwa zinatangazwa maana huwa zinaisha.
 
Ok, Bond haziishi. mnada hufashika Kila siku ya jumatano. Kuna ratiba ya mwaka mzima ukifungua website ya BOT utaiona. Kwa Mfano wiki hii kulikuwa na mnada wa Hatifungani za muda mfupi Treasury Bills wiki ijayo kutakuwa na mnada wa Hatifungani za muda mrefu Treasury Bonds. Hizi Bond zinapouzwa kwa mara ya kwanza huuzwa na BOT wenyewe baada ya hapo zinauzwa soko la upili DSE ambapo wale walionunua kama wakitaka kuuza wanauza kupitia soko la upili
 
Back
Top Bottom